Wakuu Tusipuuze ishu ya Dr. Emmanuel Nchimbi na taarifa zinazoitwa za Upotoshaji, mambo huwaga hivi hivi …..

Wakuu Tusipuuze ishu ya Dr. Emmanuel Nchimbi na taarifa zinazoitwa za Upotoshaji, mambo huwaga hivi hivi …..

Umeandika mambo ya maana sana, lakini kwa CCM hawatokuelewa.

Binafsi i was hopeful na nikajipa grace period ya up to 4th september, ilivyopita kimya nimeconclude EN hajajiuzulu amelazimishwa kujiuzulu, kwahiyo kwanza wale wa wimbo wa ushujaa ufe. Pili, WaTz hatupaswi kusema chochote ikiwa familia yake yenyewe ipo kimya. Unlike familia ya HP ili push na hivyo Wananchi wote wakapush nao, Ground ya wananchi kuhoji suala la EN kwa muktadha huu ni ipi? kwamba tunamtaka makamu (ex makamu?)

Cha mwisho hili jambo tungewaachia CCM wamdai mtu wao, moja katika kuonesha solidarity yao, pili kuonesha kuwa alichofanyiwa si haki, na tatu kumdai EN kama mwanadamu na mwana CCM.

None CCM people tungekaa pembeni kwa hili, haiwezekani watu watese wananchi, siku wakivurugana wenyewe wananchi ndio wawe wa kwanza kupaza sauti. Waachwe wapambane na hali yao.

Either wana CCM wawe loyal kwa wababe wao wafyate mkia milele au wajifunze kuungana na wananchi wanapoonewa, lazima kuwe na leverage kwenye kila kitu.

Kimtu kijinga kama kikawaida kinafokea watu wazima halafu CCM yote mnakaa kimya, shame on you!
 
Si mlikua mnamsifia kwamba ni Jasusi muandamizi kwamba CCM hawamuwezi na wanamuogopa mbona vilio tena? Na kwa Lissu itakua hivi hivi kama wameweza kumfukuza Makamu wa Rais Lisu wanashindwaje kumnyonga? Tuheshimu mamlaka jamani na tuwe na adabu na mamlaka sio kutaka kutunisha misuli wakati nguvu Amna.
NB:Kuheshimu mamlaka sio uchawa Bali ndio Watanzania tulivyofunzwa kuheshimiana.
 
Acha basi
 
Hii nchi tunakuwa na maneno mengi na u snitch humo humo, ila hatupo watu wa vitendo. Paka mda huu ilitakiwa pawe pamewaka moto. Ila kimya kama hakuna jambo limetokea
Kawashe Sasa,uache kuwasha moto Kwa Ajili ya familia Yako uje uwashe moto kisa kisa Wanasiasa? Hauko serious,binafsi siwezi mwanasiasa hana faida yeyote kwangu
 
Mpaka hapa kikwazo ni familia yake, pili ana mdogo wake ambaye ni Mbunge wa CCM, tatu ni Mwanajumuiya so ana viongozi wake wa dini.
Hao walitakiwa waongee chochote, sasa wote wapo kumya , ukimywa wao huo maana yake hawataki mambo yawe public hivyo public mmeshanyimwa room ya kujihusisha na chochote kinachomhusu
Polepole ndugu zake hawajakaa kimya na watanzania hamjafanya kitu.
Hata huyu hamtafanya kitu
 
Umeandika mambo ya maana sana, lakini kwa CCM hawatokuelewa.

Binafsi i was hopeful na nikajipa grace period ya up to 4th september, ilivyopita kimya nimeconclude EN hajajiuzulu amelazimishwa kujiuzulu, kwahiyo kwanza wale wa wimbo wa ushujaa ufe. Pili, WaTz hatupaswi kusema chochote ikiwa familia yake yenyewe ipo kimya. Unlike familia ya HP ili push na hivyo Wananchi wote wakapush nao, Ground ya wananchi kuhoji suala la EN kwa muktadha huu ni ipi? kwamba tunamtaka makamu (ex makamu?)

Cha mwisho hili jambo tungewaachia CCM wamdai mtu wao, moja katika kuonesha solidarity yao, pili kuonesha kuwa alichofanyiwa si haki, na tatu kumdai EN kama mwanadamu na mwana CCM.

None CCM people tungekaa pembeni kwa hili, haiwezekani watu watese wananchi, siku wakivurugana wenyewe wananchi ndio wawe wa kwanza kupaza sauti. Waachwe wapambane na hali yao.

Either wana CCM wawe loyal kwa wababe wao wafyate mkia milele au wajifunze kuungana na wananchi wanapoonewa, lazima kuwe na leverage kwenye kila kitu.

Kimtu kijinga kama kikawaida kinafokea watu wazima halafu CCM yote mnakaa kimya, shame on you!

Na kile kimama uchwara, chatanda kinabwata upuuzi tu, afu CCM wanawachekea, hivi huko CCM hakuna watu wenye UTU?
 
Well , taarifa za Dr. Emmanuel Nchimbi (PhD) kuhusukujiuzulu zilianza chinichini hadi Gazeti moja likapigwa ban , mwisho wa siku ni kweli Daktari Nchimbi akalazimishwa kuachia Ofisi - Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli

Kifo cha JPM kilianza kama drama na upotoshaji, baadae ni kweli JPM tukaanbiwa kavuta mazima- ni Taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli

Ishu ya polepole kukinzana na Boss Wake zilianza chinichini, baadae ni kweli pole pole akaja upfront na wakamteka- Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli

Taarifa kuwa Daktari huenda amedhurika na hayupo tena nasi zimeanza kama Taarifa za Upotoshaji lakini kwa trend ya hapo juu , Upotoshaji hugeuka kuwa kweli ! Hii ina raise concern - Mzaha mzaha mtu anamalizwa kweli mazima na inabaki historia

Daktari haonekani Jumuiya wala Kanisani - then tunaambiwa ni taarifa za Upotoshaji.

Yule ni public figure, kama yupo hai aonekane hata Jumuiya, Is jumuiya ni siasa ?

CCM mnakosa Weledi sana na Tafakuru

Imagine nafasi kubwa kama Makamu wa Rais mtu mpya anaanza majukumu bila kukabidhiwa Ofisi na mtangulizi wake haijawahi kutokea maana hata Rais anakabidhi Ofisi-
The whole thing proves CCM ni Chanzo cha Uharibifu wa maadili ya umma na amani ya nchi

Kama Nchimbi yupo hai aje upfront , usikute watu wanatafuta pakuanzia baada ya kuharibu …. Hii ni hatari sana kama taifa tumechagua Hii ndio njia ya maisha

Daktari yupo wapi !

Kajiuzulu kupitia Instagram na barua ya mchongo which raise suspicion kama kweli ile ni barua ya Daktari ,kwa ulimwengu wa AI saini ya mtu kwa sasa sio ishu kuipata

Daktari yupo wapi ; Amekufa au Yupo hai Watanzania wanatakiwa kuujua ukweli juu ya former VP wao ni haki yao kikatiba

Msituambie kuwa amestaafu hivyo hatozungumzia chochote acheni huo upumbavu , Daktari anatakiwa kutoka kama alivotoka mpango na kutuambia Anastaafu kwa sababu anataka kupumzika na familia yake - Mpango alisema hivyo kwa kinywa chache, to prove wrong , Daktari nae afanye hivyo then aendelee na maisha yake we won’t bother -otherwise tuna wasiwasi kama Daktari yupo hai- na kama hayupo hai basi mamlaka husika ziseme maana mtu kama makamu ni lazima debriefing zake ziende State house kila siku

Mwisho,Taarifa zinazoitwa za Upotoshaji haziwezi kupuuzwa isipokuwa tu kwa dalili (evidence) ni ama Nchimbi aje upfront kwenye Jumuiya Kanisa au familia yake ipewe mwili na ifanye Catholic rituals

Tuache Uhuni kujipa mamlaka juu ya uhai wa watu wengine

Dr. Megalodon Mushi, MD, Mmed , PhD
University of Ottawa, Department of Oncology
Canada
Downtown
Rue 52
Ila kisasi kwa wafuasi wa Samia plus yeye mwenyewe siku akiachia madaraka kitakuwa kikubwa sana. Na watakaoumia zaidi wazenji wenzake.
Ni suala la muda tu watu watalia kilio kikuu na kusagana meno.
 
Back
Top Bottom