Wakuu tuwe makini lock milango kabla ya kuanza kuendesha gari

Wakuu tuwe makini lock milango kabla ya kuanza kuendesha gari

Mimi dakika chache tuhuwa inajilock, japo ni kitu cha kwanza hufanya kulock, napoingia na pia kuna siku nimejaribu kufungua mlango huku nadrive ukagoma kufunguka!
 
Hii uliyoileta ni hiyo clip umeielezea vilevile kama ilivyotokea, au ndo deja vu 😂😂.
Au ni dar sehemu gani mkuu??
😁 Serious Mkuu posta pale mbona ni habari kubwa Sana mjini pia hiyo unayosema wewe boda hakukimbiza gari lakini pia sio Tanzania.
 
Child lock, ila hata ukiwa na gari la miaka 20 iliyopita ukifikisha 25km/hr milango lazima ijiloki, ikikuwa gar gani hiyo?
 
Child lock, ila hata ukiwa na gari la miaka 20 iliyopita ukifikisha 25k/hr milangonlazoma ijiloki, ikikuwa gar gani hiyo?
Sijajua Mkuu ni aina gani . Pia matukio ya design hii watoto kufungua milango wakati mzazi anaendesha mbona yapo sana . Search hata YouTube utaona cctv zinaonesha Mkuu.
 
Sijawahi kua na amani wala kuvumilia pale ninapoongozana na gari inayoendeshwa na mwanamke. Lazima nimkate au nipaki tu nimuache aende. Na sijawahi kurndesha na mwanamke zaidi ya umbali wa 20km. Siwaamini kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Unapokuwa unadrive kwa hiyo unachunguzaga gari unayofuatana nayo kama inaendeshwa na jinsia ipi?
 
Unapokuwa unadrive kwa hiyo unachunguzaga gari unayofuatana nayo kama inaendeshwa na jinsia ipi?
Ndio. Gari ikiwa mbele yangu ni rahisi saana kujua jinsia inayoendesha.. Hua nakagua vitu vidogo vidogo kwenye uendeshaji wake, nikizingatia na aina ya geri yenyewe, 98.7% hua nakua sahihi.
 
Back
Top Bottom