Wakuu vigae vya kuezekea Zanzibar ni nafuu? Huku bara bei kali sana 40,000?!

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,308
Reaction score
12,812
Yaani kigae kimoja 40,000? Kwamba nikihitaji vigae 2,000 nalipa almost 80,000,000?! Nilitaka nimshauri huyu jamaa aagize China ila nikaona kwanini aende mbali.
Mwenye kufahamu Zanzibar bei ya kigae cha bati sand coated bei gani.
 
Si mchezo.
 
Kigae cha kazi gani piga zege tu ....kwani unafuga panya hadi huwe na nyumba yenye dari
 
Wajuzi wa kujenga paa za zege hawapo.

Zile nyumba zilizoezekwa kwa zege ziliishia kuvuja na sasa zimepigwa paa za bati.

Maji ni majanja sana kuweza kupenya hata kwenye jiwe, sembuse manmade concrete?

Hata ujenzi wa maghorofa sasa hivi hawaishii kumwaga slab kule mwisho juu, wanapaua bati.
 
Nyumba isiyo na zege bali paa la bati au vigae si hesabugi kuwa ni nyumba ....paa ya zege halina tatizo lolote..

Back
Top Bottom