KERO Responded Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigoma Ujiji hawajauelewa vema mfumo wa PEPMIS

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Serikali ilianzisha mfumo wa ESS UTUMISHI Kwa ajili ya kurahisisha utendaji Serikali, katika kipengele cha kupima utendaji wa mtumishi (PEPMIS), Wakuu wa idara Halmashauri ya Kigoma Ujiji hawajui chochote, hili limepelekea watumishi wa ngazi za chini alama zao kusoma 0% na huku mtumishi yeye akiingia kwenye akounti yake anaona alama anazo na ametekeleza majukumu kwenye mfumo wa PEPMIS ipasavyo!

Hili limepelekea watumishi hawa wa chini kukosa haki zao za kupanda madaraja kuanzia mwezi Mei 2025.
Tunaomba serikali ilifanyie kazi hili ili kuhakikisha watumishi walioko chini wanapata haki zao. Kwanini Afisa Utumishi, Afisa Elimu, Wakurugenzi n.k (Supervisors) pale ambapo hawatekelezi majukumu yao ipasavyo kwenye mfumo wa PEPMIS hawachukuliwi hatua na serikali? Maana uzembe wao unapelekea mtumishi wa ngazi ya chini kabisa anakosa haki zake za msingi ili hali mtumishi huyu ametimiza wajibu wake?

USHAURI:
Serikali toeni mafunzo/Elimu juu ya PEPMIS kwa wasimamizi, hili likiendelea hivi watumishi walioko chini watakata tamaa ya kufanya kazi kwa bidii.

Pia soma ~ Prof. Shemdoe: Uzembe wa Ma-Afisa Rasilimali Watu katika Mfumo wa PEPMIS umezuia Watumishi kutopanda daraja
 
Serikali ilianzisha mfumo wa ESS UTUMISHI Kwa ajili ya kurahisisha utendaji serikali.

Katika kipengele cha kupima utendaji wa mtumishi (PEPMIS), Wakuu wa idara Halmashauri ya Kigoma Ujiji hawajui chochote, hili limepelekea watumishi wa ngazi za chini alama zao kusoma 0% na huku mtumishi yeye akiingia kwenye akounti yake anaona alama anazo na ametekeleza majukumu kwenye mfumo wa PEPMIS ipasavyo!

Hili limepelekea watumishi hawa wa chini kukosa haki zao za kupanda madaraja kuanzia mwezi Mei 2025.
Tunaomba serikali ilifanyie kazi hili ili kuhakikisha watumishi walioko chini wanapata haki zao. Kwanini Afisa Utumishi, Afisa Elimu, Wakurugenzi n.k (Supervisors) pale ambapo hawatekelezi majukumu yao ipasavyo kwenye mfumo wa PEPMIS hawachukuliwi hatua na serikali? Maana uzembe wao unapelekea mtumishi wa ngazi ya chini kabisa anakosa haki zake za msingi ili hali mtumishi huyu ametimiza wajibu wake?

USHAURI:
Serikali toeni mafunzo/Elimu juu ya PEPMIS kwa wasimamizi, hili likiendelea hivi watumishi walioko chini watakata tamaa ya kufanya kazi kwa bidii.
Hawa jamaa wanatutesa Sana hadi mtu unaona kazi kama ni utumwa just imagine mtu umeajiriwa 2012 upo daraja F Sawa na ajira ya 2015 kisa mapungufu Yao kuwa mateso kwa watumishi wengine. Intake ya 2012 Kigoma Manispaa hamtufanyii fair kabisa
 
Serikali ilianzisha mfumo wa ESS UTUMISHI Kwa ajili ya kurahisisha utendaji serikali.

Katika kipengele cha kupima utendaji wa mtumishi (PEPMIS), Wakuu wa idara Halmashauri ya Kigoma Ujiji hawajui chochote, hili limepelekea watumishi wa ngazi za chini alama zao kusoma 0% na huku mtumishi yeye akiingia kwenye akounti yake anaona alama anazo na ametekeleza majukumu kwenye mfumo wa PEPMIS ipasavyo!

Hili limepelekea watumishi hawa wa chini kukosa haki zao za kupanda madaraja kuanzia mwezi Mei 2025.
Tunaomba serikali ilifanyie kazi hili ili kuhakikisha watumishi walioko chini wanapata haki zao. Kwanini Afisa Utumishi, Afisa Elimu, Wakurugenzi n.k (Supervisors) pale ambapo hawatekelezi majukumu yao ipasavyo kwenye mfumo wa PEPMIS hawachukuliwi hatua na serikali? Maana uzembe wao unapelekea mtumishi wa ngazi ya chini kabisa anakosa haki zake za msingi ili hali mtumishi huyu ametimiza wajibu wake?

USHAURI:
Serikali toeni mafunzo/Elimu juu ya PEPMIS kwa wasimamizi, hili likiendelea hivi watumishi walioko chini watakata tamaa ya kufanya kazi kwa bidii.
Kiukweli hili ni changamoto hasa wa watumishi walioko chini wanaumizwa na uzembe wa wasimamizi wao Kwa kutokuelewa mfumo vyema.
 
Kuna jamaa kanitonya wilayq mojawapo ya mkoa wa geita walimu 43 hawajapanda madaraja kisa ess
 
Serikali ilianzisha mfumo wa ESS UTUMISHI Kwa ajili ya kurahisisha utendaji serikali.

Katika kipengele cha kupima utendaji wa mtumishi (PEPMIS), Wakuu wa idara Halmashauri ya Kigoma Ujiji hawajui chochote, hili limepelekea watumishi wa ngazi za chini alama zao kusoma 0% na huku mtumishi yeye akiingia kwenye akounti yake anaona alama anazo na ametekeleza majukumu kwenye mfumo wa PEPMIS ipasavyo!

Hili limepelekea watumishi hawa wa chini kukosa haki zao za kupanda madaraja kuanzia mwezi Mei 2025.
Tunaomba serikali ilifanyie kazi hili ili kuhakikisha watumishi walioko chini wanapata haki zao. Kwanini Afisa Utumishi, Afisa Elimu, Wakurugenzi n.k (Supervisors) pale ambapo hawatekelezi majukumu yao ipasavyo kwenye mfumo wa PEPMIS hawachukuliwi hatua na serikali? Maana uzembe wao unapelekea mtumishi wa ngazi ya chini kabisa anakosa haki zake za msingi ili hali mtumishi huyu ametimiza wajibu wake?

USHAURI:
Serikali toeni mafunzo/Elimu juu ya PEPMIS kwa wasimamizi, hili likiendelea hivi watumishi walioko chini watakata tamaa ya kufanya kazi kwa bidii.
Hii changamoto sana
 
Hii sio Kigoma Kigoma Kaskazini tu na. Wengi wamepata mfumo ila hawajui kutumia. Mamlaka husika watoe elimu kwa walimu wa wote wote. Lakini uwepo ufuatiliaji We We Wa utendaji kazi kuanzia ngazi ya shule hadi kata. Watu wengi wanachanggamka na mfumo pale pale tu wanapokuwa na changamoto. Lakini baadhi ya maeneo mtandao bado ni kikwazo.
 
Watu tumeshindwa kupata haki yetu stahiki ya kupanda madaraja Kwa sababu ya uelewa mdogo wa huu mfumo wa kikora kuanzia Kwa supervisors to the top.....

Sina hamu nao kabisa but I'm still believing to get my right at the right time..... stupid
 
Hii Kigoma Ujiji ni shida. Cha ajabu watumishi wa chini wananyimwa haki zao ila serikali haichukui hatua, nilishawahi kumsikia Waziri Simbachawene kwenye kikao na wakurugenzi wa Halmashauri zote alisema Afisa Utumishi Manispaa ya Kigoma Ujiji hakufanya chochote kwenye mfumo wa upandishaji madaraja ya mserereko, na hii ikapelekea watumishi hao kukosa haki hiyo ya msingi.
Binafsi nikajiuliza kama serikali imeligundua hilo, Kwa Nini hao watumishi wasipewe haki yao on the spot,yaani utaambiwa hapo hadi tena bajeti ya mwaka mwingine wa fedha.
Hao watumishi wa chini ndio wanaofanya kazi sana na kuleta maendeleo cha kushangaza hawapati haki zao Kwa Wakati.
Hii Halmashauri ni shida sana, watumishi wanakata tamaa Kwa mambo kama haya.
#Usishangae hili likapita hivi hivi bila hatua kuchukuliwa.
 
Binafsi huwa najuta Sana kuwa Mtumishi wa Manispaa hii bad enough nina dogo Geita aliajiriwa 2015 Niko nae daraja moja F digrii kwa digrii! Ajira 2012 na yeye 2015 halafu utake mtu afanye kazi kwa moyo bila maslahi yake kuzingatiwa
 
Naomba kujua total score ambaye supervisor anatoa inatakiwa isizidi asilimia 30 au 70?
 
  • Thanks
Reactions: K11

Ajira ya 2012. baadhi ya halmashauri ni majanga yaani serikali imetoa waraka toka mwezi 4 mpaka sasa hakuna dalili yeyote .TSC na Maafisa utumishi wamelala Tu....so sad 😢
 
Pole sana ndugu Mtumishi kusema kweli kwa hali kama hiyo huwezi kutamani kamwe kuwa mtumishi katika Halmashauri hii.
 
Naomba kujua total score ambaye supervisor anatoa inatakiwa isizidi asilimia 30 au 70?
Supervisor anaweka score kuanzia 0 hadi 100.
Alama hizi zinawekwa kuanzia;
*trh 1-14 ya mwezi wa 1 (Wanaotumia Calendar Year) au trh 1-14 ya mwezi wa 7 (Wanaotumia Financial Year) au,
*Mtumishi anapohama au
*Mtumishi akikamilisha 100% kwenye ku-emplement subtask yake.
 
Ajira ya 2012. baadhi ya halmashauri ni majanga yaani serikali imetoa waraka toka mwezi 4 mpaka sasa hakuna dalili yeyote .TSC na Maafisa utumishi wamelala Tu....so sad 😢
nasikia serikali imetoa maelekezo kwamba wanaostahili kupata mserereko ni wale walioajiriwa 2005 kurudi nyuma ila waraka hausemi hivyo,Kuna clinic ya Samia imepita kila mahali lakin naona Bado matokeo hayajaonekana,aisee hii ni hatari
 
Ajira ya 2012. baadhi ya halmashauri ni majanga yaani serikali imetoa waraka toka mwezi 4 mpaka sasa hakuna dalili yeyote .TSC na Maafisa utumishi wamelala Tu....so sad 😢
Dah kweli huu mwaka ni wa kamkosi Fulani maana kuna wengine Dodoma nako ni intake hiyo nao wameumizwa kama Manispaa ya Kigoma/Ujiji tuu
 
Supervisor anaweka score kuanzia 0 hadi 100.
Alama hizi zinawekwa kuanzia;
*trh 1-14 ya mwezi wa 1 (Wanaotumia Calendar Year) au trh 1-14 ya mwezi wa 7 (Wanaotumia Financial Year) au,
*Mtumishi anapohama au
*Mtumishi akikamilisha 100% kwenye ku-emplement subtask yake.
Supervisor wetu nae naona anachangia watu wameupdate toka mwezi wa 2, 3, 4 na wa 5 lkn mpaka Leo ipo submitted tuu
 
Back
Top Bottom