KERO Responded Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigoma Ujiji hawajauelewa vema mfumo wa PEPMIS

KERO Responded Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigoma Ujiji hawajauelewa vema mfumo wa PEPMIS

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Unapaswa kumkumbusha supervisor mara Kwa mara maana ukikaa kimia na Supervisor asipofanya chochote mwisho wa siku unaumia wewe mtumishi wa chini.
Dah kweli ahsante kwa ushauri! Mtu uwajibike kumkumbusha mtu wajibu wake kweli hii nchi kazi tunayo. Ukiacha madhara kwako mwenyee
 
Unapaswa kumkumbusha supervisor mara Kwa mara maana ukikaa kimia na Supervisor asipofanya chochote mwisho wa siku unaumia wewe mtumishi wa chini.
Tatizo hilo ni kubwa sana,Kuna maeneo mengi hata wakikumbushwa wanasema wana kazi nyingi.
 
Back
Top Bottom