A
Hawa jamaa wanatutesa Sana hadi mtu unaona kazi kama ni utumwa just imagine mtu umeajiriwa 2012 upo daraja F Sawa na ajira ya 2015 kisa mapungufu Yao kuwa mateso kwa watumishi wengine. Intake ya 2012 Kigoma Manispaa hamtufanyii fair kabisaSerikali ilianzisha mfumo wa ESS UTUMISHI Kwa ajili ya kurahisisha utendaji serikali.
Katika kipengele cha kupima utendaji wa mtumishi (PEPMIS), Wakuu wa idara Halmashauri ya Kigoma Ujiji hawajui chochote, hili limepelekea watumishi wa ngazi za chini alama zao kusoma 0% na huku mtumishi yeye akiingia kwenye akounti yake anaona alama anazo na ametekeleza majukumu kwenye mfumo wa PEPMIS ipasavyo!
Hili limepelekea watumishi hawa wa chini kukosa haki zao za kupanda madaraja kuanzia mwezi Mei 2025.
Tunaomba serikali ilifanyie kazi hili ili kuhakikisha watumishi walioko chini wanapata haki zao. Kwanini Afisa Utumishi, Afisa Elimu, Wakurugenzi n.k (Supervisors) pale ambapo hawatekelezi majukumu yao ipasavyo kwenye mfumo wa PEPMIS hawachukuliwi hatua na serikali? Maana uzembe wao unapelekea mtumishi wa ngazi ya chini kabisa anakosa haki zake za msingi ili hali mtumishi huyu ametimiza wajibu wake?
USHAURI:
Serikali toeni mafunzo/Elimu juu ya PEPMIS kwa wasimamizi, hili likiendelea hivi watumishi walioko chini watakata tamaa ya kufanya kazi kwa bidii.
Kiukweli hili ni changamoto hasa wa watumishi walioko chini wanaumizwa na uzembe wa wasimamizi wao Kwa kutokuelewa mfumo vyema.Serikali ilianzisha mfumo wa ESS UTUMISHI Kwa ajili ya kurahisisha utendaji serikali.
Katika kipengele cha kupima utendaji wa mtumishi (PEPMIS), Wakuu wa idara Halmashauri ya Kigoma Ujiji hawajui chochote, hili limepelekea watumishi wa ngazi za chini alama zao kusoma 0% na huku mtumishi yeye akiingia kwenye akounti yake anaona alama anazo na ametekeleza majukumu kwenye mfumo wa PEPMIS ipasavyo!
Hili limepelekea watumishi hawa wa chini kukosa haki zao za kupanda madaraja kuanzia mwezi Mei 2025.
Tunaomba serikali ilifanyie kazi hili ili kuhakikisha watumishi walioko chini wanapata haki zao. Kwanini Afisa Utumishi, Afisa Elimu, Wakurugenzi n.k (Supervisors) pale ambapo hawatekelezi majukumu yao ipasavyo kwenye mfumo wa PEPMIS hawachukuliwi hatua na serikali? Maana uzembe wao unapelekea mtumishi wa ngazi ya chini kabisa anakosa haki zake za msingi ili hali mtumishi huyu ametimiza wajibu wake?
USHAURI:
Serikali toeni mafunzo/Elimu juu ya PEPMIS kwa wasimamizi, hili likiendelea hivi watumishi walioko chini watakata tamaa ya kufanya kazi kwa bidii.
Hii changamoto sanaSerikali ilianzisha mfumo wa ESS UTUMISHI Kwa ajili ya kurahisisha utendaji serikali.
Katika kipengele cha kupima utendaji wa mtumishi (PEPMIS), Wakuu wa idara Halmashauri ya Kigoma Ujiji hawajui chochote, hili limepelekea watumishi wa ngazi za chini alama zao kusoma 0% na huku mtumishi yeye akiingia kwenye akounti yake anaona alama anazo na ametekeleza majukumu kwenye mfumo wa PEPMIS ipasavyo!
Hili limepelekea watumishi hawa wa chini kukosa haki zao za kupanda madaraja kuanzia mwezi Mei 2025.
Tunaomba serikali ilifanyie kazi hili ili kuhakikisha watumishi walioko chini wanapata haki zao. Kwanini Afisa Utumishi, Afisa Elimu, Wakurugenzi n.k (Supervisors) pale ambapo hawatekelezi majukumu yao ipasavyo kwenye mfumo wa PEPMIS hawachukuliwi hatua na serikali? Maana uzembe wao unapelekea mtumishi wa ngazi ya chini kabisa anakosa haki zake za msingi ili hali mtumishi huyu ametimiza wajibu wake?
USHAURI:
Serikali toeni mafunzo/Elimu juu ya PEPMIS kwa wasimamizi, hili likiendelea hivi watumishi walioko chini watakata tamaa ya kufanya kazi kwa bidii.
Hii sio Kigoma Kigoma Kaskazini tu na. Wengi wamepata mfumo ila hawajui kutumia. Mamlaka husika watoe elimu kwa walimu wa wote wote. Lakini uwepo ufuatiliaji We We Wa utendaji kazi kuanzia ngazi ya shule hadi kata. Watu wengi wanachanggamka na mfumo pale pale tu wanapokuwa na changamoto. Lakini baadhi ya maeneo mtandao bado ni kikwazo.Serikali ilianzisha mfumo wa ESS UTUMISHI Kwa ajili ya kurahisisha utendaji serikali.
Katika kipengele cha kupima utendaji wa mtumishi (PEPMIS), Wakuu wa idara Halmashauri ya Kigoma Ujiji hawajui chochote, hili limepelekea watumishi wa ngazi za chini alama zao kusoma 0% na huku mtumishi yeye akiingia kwenye akounti yake anaona alama anazo na ametekeleza majukumu kwenye mfumo wa PEPMIS ipasavyo!
Hili limepelekea watumishi hawa wa chini kukosa haki zao za kupanda madaraja kuanzia mwezi Mei 2025.
Tunaomba serikali ilifanyie kazi hili ili kuhakikisha watumishi walioko chini wanapata haki zao. Kwanini Afisa Utumishi, Afisa Elimu, Wakurugenzi n.k (Supervisors) pale ambapo hawatekelezi majukumu yao ipasavyo kwenye mfumo wa PEPMIS hawachukuliwi hatua na serikali? Maana uzembe wao unapelekea mtumishi wa ngazi ya chini kabisa anakosa haki zake za msingi ili hali mtumishi huyu ametimiza wajibu wake?
USHAURI:
Serikali toeni mafunzo/Elimu juu ya PEPMIS kwa wasimamizi, hili likiendelea hivi watumishi walioko chini watakata tamaa ya kufanya kazi kwa bidii.
Binafsi huwa najuta Sana kuwa Mtumishi wa Manispaa hii bad enough nina dogo Geita aliajiriwa 2015 Niko nae daraja moja F digrii kwa digrii! Ajira 2012 na yeye 2015 halafu utake mtu afanye kazi kwa moyo bila maslahi yake kuzingatiwaHii Kigoma Ujiji ni shida. Cha ajabu watumishi wa chini wananyimwa haki zao ila serikali haichukui hatua, nilishawahi kumsikia Waziri Simbachawene kwenye kikao na wakurugenzi wa Halmashauri zote alisema Afisa Utumishi Manispaa ya Kigoma Ujiji hakufanya chochote kwenye mfumo wa upandishaji madaraja ya mserereko, na hii ikapelekea watumishi hao kukosa haki hiyo ya msingi.
Binafsi nikajiuliza kama serikali imeligundua hilo, Kwa Nini hao watumishi wasipewe haki yao on the spot,yaani utaambiwa hapo hadi tena bajeti ya mwaka mwingine wa fedha.
Hao watumishi wa chini ndio wanaofanya kazi sana na kuleta maendeleo cha kushangaza hawapati haki zao Kwa Wakati.
Hii Halmashauri ni shida sana, watumishi wanakata tamaa Kwa mambo kama haya.
#Usishangae hili likapita hivi hivi bila hatua kuchukuliwa.
Naomba kujua total score ambaye supervisor anatoa inatakiwa isizidi asilimia 30 au 70?Binafsi huwa najuta Sana kuwa Mtumishi wa Manispaa hii bad enough nina dogo Geita aliajiriwa 2015 Niko nae daraja moja F digrii kwa digrii! Ajira 2012 na yeye 2015 halafu utake mtu afanye kazi kwa moyo bila maslahi yake kuzingatiwa
Ajira ya 2012. baadhi ya halmashauri ni majanga yaani serikali imetoa waraka toka mwezi 4 mpaka sasa hakuna dalili yeyote .TSC na Maafisa utumishi wamelala Tu....so sad 😢Binafsi huwa najuta Sana kuwa Mtumishi wa Manispaa hii bad enough nina dogo Geita aliajiriwa 2015 Niko nae daraja moja F digrii kwa digrii! Ajira 2012 na yeye 2015 halafu utake mtu afanye kazi kwa moyo bila maslahi yake kuzingatiwa
Pole sana ndugu Mtumishi kusema kweli kwa hali kama hiyo huwezi kutamani kamwe kuwa mtumishi katika Halmashauri hii.Binafsi huwa najuta Sana kuwa Mtumishi wa Manispaa hii bad enough nina dogo Geita aliajiriwa 2015 Niko nae daraja moja F digrii kwa digrii! Ajira 2012 na yeye 2015 halafu utake mtu afanye kazi kwa moyo bila maslahi yake kuzingatiwa
Mtymishi anatafuta 70 ,bosi anatoa 30Naomba kujua total score ambaye supervisor anatoa inatakiwa isizidi asilimia 30 au 70?
Supervisor anaweka score kuanzia 0 hadi 100.Naomba kujua total score ambaye supervisor anatoa inatakiwa isizidi asilimia 30 au 70?
nasikia serikali imetoa maelekezo kwamba wanaostahili kupata mserereko ni wale walioajiriwa 2005 kurudi nyuma ila waraka hausemi hivyo,Kuna clinic ya Samia imepita kila mahali lakin naona Bado matokeo hayajaonekana,aisee hii ni hatariAjira ya 2012. baadhi ya halmashauri ni majanga yaani serikali imetoa waraka toka mwezi 4 mpaka sasa hakuna dalili yeyote .TSC na Maafisa utumishi wamelala Tu....so sad 😢
Jamaa wanatutesa Sana bila hata huruma yaniPole sana ndugu Mtumishi kusema kweli kwa hali kama hiyo huwezi kutamani kamwe kuwa mtumishi katika Halmashauri hii.
Dah kweli huu mwaka ni wa kamkosi Fulani maana kuna wengine Dodoma nako ni intake hiyo nao wameumizwa kama Manispaa ya Kigoma/Ujiji tuuAjira ya 2012. baadhi ya halmashauri ni majanga yaani serikali imetoa waraka toka mwezi 4 mpaka sasa hakuna dalili yeyote .TSC na Maafisa utumishi wamelala Tu....so sad 😢
Supervisor wetu nae naona anachangia watu wameupdate toka mwezi wa 2, 3, 4 na wa 5 lkn mpaka Leo ipo submitted tuuSupervisor anaweka score kuanzia 0 hadi 100.
Alama hizi zinawekwa kuanzia;
*trh 1-14 ya mwezi wa 1 (Wanaotumia Calendar Year) au trh 1-14 ya mwezi wa 7 (Wanaotumia Financial Year) au,
*Mtumishi anapohama au
*Mtumishi akikamilisha 100% kwenye ku-emplement subtask yake.
Unapaswa kumkumbusha supervisor mara Kwa mara maana ukikaa kimia na Supervisor asipofanya chochote mwisho wa siku unaumia wewe mtumishi wa chini.Supervisor wetu nae naona anachangia watu wameupdate toka mwezi wa 2, 3, 4 na wa 5 lkn mpaka Leo ipo submitted tuu