H Haludzedzele JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,477 Reaction score 534 Jul 1, 2025 #21 Tigha Obhukangi said: Unapaswa kumkumbusha supervisor mara Kwa mara maana ukikaa kimia na Supervisor asipofanya chochote mwisho wa siku unaumia wewe mtumishi wa chini. Click to expand... Dah kweli ahsante kwa ushauri! Mtu uwajibike kumkumbusha mtu wajibu wake kweli hii nchi kazi tunayo. Ukiacha madhara kwako mwenyee
Tigha Obhukangi said: Unapaswa kumkumbusha supervisor mara Kwa mara maana ukikaa kimia na Supervisor asipofanya chochote mwisho wa siku unaumia wewe mtumishi wa chini. Click to expand... Dah kweli ahsante kwa ushauri! Mtu uwajibike kumkumbusha mtu wajibu wake kweli hii nchi kazi tunayo. Ukiacha madhara kwako mwenyee
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,156 Jul 1, 2025 #22 Poleni Sana
M Mlimbo48 Senior Member Joined Sep 9, 2024 Posts 174 Reaction score 117 Jul 1, 2025 #23 Tigha Obhukangi said: Unapaswa kumkumbusha supervisor mara Kwa mara maana ukikaa kimia na Supervisor asipofanya chochote mwisho wa siku unaumia wewe mtumishi wa chini. Click to expand... Tatizo hilo ni kubwa sana,Kuna maeneo mengi hata wakikumbushwa wanasema wana kazi nyingi.
Tigha Obhukangi said: Unapaswa kumkumbusha supervisor mara Kwa mara maana ukikaa kimia na Supervisor asipofanya chochote mwisho wa siku unaumia wewe mtumishi wa chini. Click to expand... Tatizo hilo ni kubwa sana,Kuna maeneo mengi hata wakikumbushwa wanasema wana kazi nyingi.
H Haludzedzele JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,477 Reaction score 534 Jul 1, 2025 #24 Shadow7 said: Poleni Sana Click to expand... Ahsante ndio Nchi yetu hatuna chaguo
H Haludzedzele JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,477 Reaction score 534 Jul 1, 2025 #25 Mlimbo48 said: Tatizo hilo ni kubwa sana,Kuna maeneo mengi hata wakikumbushwa wanasema wana kazi nyingi. Click to expand... Ni Shida kwakweli
Mlimbo48 said: Tatizo hilo ni kubwa sana,Kuna maeneo mengi hata wakikumbushwa wanasema wana kazi nyingi. Click to expand... Ni Shida kwakweli
Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 5,383 Reaction score 18,776 Jun 24, 2026 #26 Hatari