Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Mguu sawa. Mkeka wa Mama Umechanika analeta mpya

Nyie ndio mnaowapa Mikosi watu
 
Pascal Mayalla na safari hii hayupo? akaoge maziwa ya simbilisi kuondoa mikosi.
 
Katika hiyo ramli Yako hujamwona Paschal Mayala? Kama hujaliona jina la huyu nguli wa kujipendekeza basi mkeka wako utakuwa umeliwa na mbuzi dime yaani beberu!
 
Ila linakuja wale ccm waliokula mema wakati uliopita wapumzike. Ndio maana apa kati tuliona hadi mabadiriko kwa ngazi ya ccm kila wilaya. Nadhani makatib/ vijana
 
Asilimia 90 ya wale wakuu wa wilaya macelebrities ni sufuri !
 
Niki wa pili akiacha ujana na ujuaji atakua mtendaji mzuri,ushauri wangu kwake afanye kazi bila kupenda sifa atafika mbali,Mungu ambariki Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ally Rufunga? Si alishatangulia mbele ya haki! Au Ally Rufunga yupi?
 
Umekuja kuwapigia debe hao watu wako huna jipya.
 

This is useless culture! Sema wapiga mapambio waliopo hawatoshi. Rais akifanya kitu kizuri, mwananchi atakiona mwenyewe hata asipoambiwa na mkuu wa wilaya au mkoa.

Wahenga walisema, “Chema chajiuza, kibaya cha jitembeza”!
 
Hawa Ghasia
 
Kila siku
Kila siku ni karibia sura hizohizo,kweli ccm ina wwnyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…