Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Mguu sawa. Mkeka wa Mama Umechanika analeta mpya

Ali Rufunga yupi ?! Kama yule aliwahi kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga alishafariki.
 
Umewaza kama kocha mbovu zlatktco au zahera
 
Ndiyo hao hao wanasaidia kukwamisha Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, waache yawatafune
 
ukinunua pombe halafu unakunywa hulewi wewe, matokeo yake analewa yule Mzee mlozi,wewe unaishiwa Hela tu.[emoji23]
 
Na mimi nimo inshaalah...
 
Vibaraka walionunuliwa wote wapigwe chini. Full stop
 
Tuna hitaji kwanza maboresho jeshi la polisi. Mh. Rais alizuia usumbufu wa trafiki, juzi Siro kamjibu kaagiza kamatakamata nchi nzima.
Hivi kiongozi mkuu kwenye hii nchi ni Siro au Mama Samia?
 
Tuna hitaji kwanza maboresho jeshi la polisi. Mh. Rais alizuia usumbufu wa trafiki, juzi Siro kamjibu kaagiza kamatakamata nchi nzima.
Hivi kiongozi mkuu kwenye hii nchi ni Siro au Mama Samia?
Kamata Kamara ya watu gani jombaa?
 
Mwanri asahau Kama amekupa hela umpigie promo we kula tu mama hataki wazee aisee. Tena kidogo angekuwa mvaa kobazi angeweza hata akarudishwa Ila kwa sasa alee wajukuu au ajiunge na akina Joti si anaweza kuwa comedian wa TOT band ya CCM.
 
Kwani wana tija gani hao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…