Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Mguu sawa. Mkeka wa Mama Umechanika analeta mpya

Ally Happy out
 
Bwashee, hujaona jina langu humo?
Umkhontowesizwe Nkulukumbi Libangandonde
 
Kama kweli basi mama atakuwa poyoyo! Parseko Kone? At that age? Tutakuwa mapumbavu ya kutupwa!
 
Ali Rufunga sina hakika kama bado yupo.
 
Kama kweli basi mama atakuwa poyoyo! Parseko Kone? At that age? Tutakuwa mapumbavu ya kutupwa!
Labda humjui vzr. Huyu mtu ni RC smart kuliko wote waliopo sasa. Age is just a number Kaka. Ally Hapi ni mdogo, utamfananisha kwa lipi na Kone? Ni usiku na mchana!
 
Labda humjui vzr. Huyu mtu ni RC smart kuliko wote waliopo sasa. Age is just a number Kaka. Ally Hapi ni mdogo, utamfananisha kwa lipi na Kone? Ni usiku na mchana!
Miaka 85 bado anautaka u RC ili akafanye nini alichoshindwa kukifanya alipokuwa na miaka 60?
 
Na mimi soine soine
 
Mbona wengi uliowataja ni wazee sasa? Wengine walikuwa ma DC miaka 199--- leo wanarudi kufanya nini wakakae Na wajukuu zao huko wavunage papai na avocado.
 
we mzima kweli wewe unawataka mpka marehem, Mbwilo ni marehem
Hata mie nimeshangaa sana labda anataka marehemu watoke makaburini waje kutuongoza
 
Kama kuna mkuu wa Wilaya na Mkoa, Mkurugenzi ana umuhimu gani?

Halafu kuna RAS & DAS. Na bado watu wanataka kumuona Rais na misafara yake akitatua matatizo ya wanyonge hadi mitaani na vijijini!

Nchi ina pesa nyingi sana hii. Overheads za serikali zinatisha. Watawala wanajiweka sawa kwa matumizi ya anasa. Hakuna wa kujua, kuhoji wala kuchukua hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…