Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Mguu sawa. Mkeka wa Mama Umechanika analeta mpya

Kuna Wale Wakuu wa Wilaya na Mikoa wanashindwa hata kuwaambia Wananchi kazi nzuri anayoifanya rais Samia, kaeni Mkao wa kuondoka.
Hivi ni kazi nzuri inayofanywa na seikali au inayofanywa na mama SSH? Tumepoteza mwelekeo sana Tz
 
Mwantumu Mahiza kwa kazi gani aliofanya?
Kama lengo ni Ally happy kwanini wazunguuke mbuyu?
 
Tuna bahati mbaya sana ya kuwa na marais wasiojuwa walifanyalo na wanatawala kwa amri ya kukilinda chama na upuuzi wake. Wasingemuua Magufuli kwa kweli tungefika mbali sana. Japo naye alikuwa na changamoto zake lakini alikuwa anatupeleka tunapostahili. Huyu Mama sasa anazingua sana mpaka inakuwa kero. Hapa Dar mapolisi wako mitaani kutafuta wanaume wanaonunua machangu ila huko Dodoma wabunge wako bize kulala na kuhonga machangu mchana kweupeee hasemi kitu. Nako Zanzibar, vijana wa kiarab koko wanashikwa shikwa matako na Italians mchana kweupe hawasemi kitu ila mbantu akionekana anakula mchana anapigwa na rais yuko kimya tu akichekelea. Yaani sijuwi tunakwenda wapi.
 
Mwanry yule wa sukuma ndani?😀 Apewe tu maana anafaa...
Yule mzee alikuwa ananifurahisha sana na ana roho nzuri anaonekana ile ilikuwa tishia tuu wafanye kazi
 
Yule wa kuwatwanga wastaafu watakaochomoza vichwa vipi
 
Acheni kuwarusha roho wakuu wetu. Hakuna cha mkeka wala jamvi, nchi imeshatulia na kazi inaendelea
 
Kwa hiyo unataka wakuu wa mikoa waimbe mapambio ya kumsifia mama wakati bei zimependa kuanzia vifaa vya ujenzi,vyakula mwaka wa pili sasa hata kabla ya vita ya Urusi na Ukraine haijaanza,kipi cha kumsifia? labda waanze kutusimulia Royal tour na safari za Marekani.
 
Never on Earth, ukiendelea kuandika namna hii utapoteza credibility yako on JF
 
Sisi kanda ya ziwa tunataka aturudishie vijana wetu wachapakazi ili tuendelee kumuunga mkono.

1.Makonda
2.Luhaga Mpina
3.Kalemani


#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…