Tetesi: Wakuu wa mikoa, wakurugenzi na viongozi mbalimbali wa serikali wahoji kurudisha posho za Mwenge

Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.

Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.

Source: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.
Nyinyi vijana wa bavichaa kwa nini mnalazimisha propaganda. Mashinji hajawapiga msasa? Hapa utawakuta akina Salary Sleep, Mwanahabari Huru etc. wakiendeleza hizi habari za kutungwa. Jifunzeni kutunga propaganda zenye mashiko.
 
hujapata tu ukurugenzi bukoba ww na lizaboni[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Waache kulalamika vijiweni,waandike barua za kujiuzulu kwa Mkuu wa Nchi.Warudishe hizo fedha kama walivyoagizwa,wasitoe hoja mufilisi.
 
Jiuzuluni kama kweli mmekerwa ili ujumbe ufike ila kama vipi kaaeni kimya rudisheni tu pesa za mkuu.
Mkuu jiongeze kidogo tu kimawazo,hela zilikuja kama posho ya safari ya hao viongozi ,wahasibu wakalipa na wakawawekea mafuta ya safari je unafikiri mtu aliyeanza safari kutoka Lindi kalala Dar ili siku inayofuata ambapo ni jana aende simiyu,unamwambia arudishe inakuaje?Atarudishaje?MAFUTA ALIYOTUMIA ATARUDISHAJE?
Hivi posho ya kujikimu ni hela za maendeleo?Hela zinapangwa na bunge za maendeleo na matumizi ya ofisi,sasa utachukuaje hela ya matumizi ukapeleka kwenye maendeleo?
 
Hata mi sijapenda.ni upumbavu na kutafuta sifaza kijinga..aweke utaratibu maana sherehe za kitaifa zinakulikans..sio hii ya kuja na tamko siku moja kabla....kil siku anasema kupeleka huduma kwa jamii huduma gani madawa hakuna mahosp...ni ujinga tuu
Hata juz watoto wameadhibiwa na walimu kila mtu akaja na jazba..vijana wakahukumiwa kwa jazba..leo akili zimeanza kuwaingia na kuona kweli wanafunzi hawana nidham...
Bil sita kitu gani mbona huduma muhimu hakuna mpaka leo....manyugusi kabisa
 
Rais atatoa neno moja tu anae lalamika aandike barua ya kuacha kazi mara moja uone kama watafanya hivyo.
wapo walioshiba pesa hata akitenguliwa ataendelea kupeta
 
Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.

Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.

Source: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.
Wasijali kama wameshatumia tutakata kutoka kwenye mishahara yao ya mwezi huu
 
Mtoa mada inawezekana ni mmoja kati ya waliogoma kurudisha pesa za mwenge
 
Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.

Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.

Chanzo: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.
Udaku!
 
Mkuu jiongeze kidogo tu kimawazo,hela zilikuja kama posho ya safari ya hao viongozi ,wahasibu wakalipa na wakawawekea mafuta ya safari je unafikiri mtu aliyeanza safari kutoka Lindi kalala Dar ili siku inayofuata ambapo ni jana aende simiyu,unamwambia arudishe inakuaje?Atarudishaje?MAFUTA ALIYOTUMIA ATARUDISHAJE?
Hivi posho ya kujikimu ni hela za maendeleo?Hela zinapangwa na bunge za maendeleo na matumizi ya ofisi,sasa utachukuaje hela ya matumizi ukapeleka kwenye maendeleo?
Mmmmmm
 
Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.

Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.

Chanzo: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.

Tena hao waliofika warudishe na hela ya mafuta. Sijui Gambo alirudia wapi?
 
Nyinyi vijana wa bavichaa kwa nini mnalazimisha propaganda. Mashinji hajawapiga msasa? Hapa utawakuta akina Salary Sleep, Mwanahabari Huru etc. wakiendeleza hizi habari za kutungwa. Jifunzeni kutunga propaganda zenye mashiko.
Hivi wewe unategemea hakuna waliolalamika? Tatizo si kurudisha posho bali timing ya taarifa yenyewe. Unafikiri ukiwa mkurugenzi au mkuu wa mkoa ,ubinadamu unahama? Siku nyingine uwe unajiongeza katika mapambio yako.
 
Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo wakati wametumia kwenye maandalizi mbalimbali.

Hii imetokea leo kuanza kulalamika wakuu hao na kusema wao hawapaswi kulaumiwa maana walipokea maagizo na pesa hizo juu walidai kuwa tayari watumishi hao walikuwa wameanza safari na wengine kufanya maandalizi ya kwenda kuhudhuria mwaliko huo watendaji hao wameonyesha kutolidhishwa na hali hii ya utendaji ambayo ipo sasa.

Chanzo: Viongozi waliofika eneo la tukio na wale walioko ofisini kulalamika mbele za watumishi wenzake.
hamna. hii mbona ni movie tu na wahusika ndio hao hao?
 
Hivi wewe unategemea hakuna waliolalamika? Tatizo si kurudisha posho bali timing ya taarifa yenyewe. Unafikiri ukiwa mkurugenzi au mkuu wa mkoa ,ubinadamu unahama? Siku nyingine uwe unajiongeza katika mapambio yako.
Sasa mbona huyo bavichaa hajanukuu jina wala chanzo?
 
Back
Top Bottom