Wakuu wa Mikoa wanapogeuka madalali wa kutangaza biashara za makampuni

Mambo makubwa Tanzania ni yepi kama sio hayo yanayohusu watu moja kwa moja hizo redio hawakukatazwa kugundua wakifikiri wafanye huyu jamaa mimi simkubali ila kwenye hili nipo nae moja kwa moja Nchi masikini pamoja na watu wake mtu anakuja na vitu vya kujikwamua mnapinga mnataka nini sasa..

Kwa hiyo tamasha la kunywa Heineken Dar es salaam kwako unauona ni ubunifu mkuubwa wa kuleta tija endelevu?
 
Hizo shughuli ndio zinaingiza kipato kwa serikali kwa njia ya kodi, zikishamiri na serikali inafaidika
Nchi ya wachuuzi badala ya uzalishaji! Hakuna taifa liliondelea kwa njia ya uchuuzi, isipokua uwekezaji kwenye viwanda(primary and secondary) na Kilimo, hizo idara mbili zinaleta kitu inaitwa Commercial Revolution.
Na baada ya hapo kuwe na sustainable programs za kumaintain hizo secta!

Ninyi wapuuzi mnasifia matukio badala ya mipango endelevu ya kujenga uchumi, mnatuzalishia taifa maskini la wachuuzi huku political class ikijineemesha! Huku mkidalalia nchi kwa mabepari uchwara huko nje! Kafulila Yuko wapi ajitokeze, wakati jirani zetu wanaandaa mashtaka dhidi ya waliohusika na kampuni ya ADANI huku mko busy kuandaa mkakati wa kutoka kwenye shimo kuwalinda. I bet wakati wa Kikwete tulikua na uwajibikaji with clear evidences sio sasa hivi wahuni mpo wengi with impunities
 
Ukizalisha lazima uuze,juzi alikuwa kwenye kiwanda cha Suma JKT cha kuzalisha taa za barabarani
 
Ulizalisha lazima uuze! Sasa jiulize unauza wapi unachozalisha ni nini? Leo hii ninapoandika hapa ni msimu wa matunda (tunazalisha) je tunauza wapi? Tuna viwanda vya kuongeza myororo wa thamani ili kuzalisha bidhaa za kuuza nje ya nchi? Jibu ni hakuna na yanaoza na kuharibika, hasara kwa wakulima, wafanyabishara na kwa Taifa huku umekaa na kushupaza shingo wakati unajua hao Nyumbu hawazalishi hata kimoja Cha kuuza nje ya nchi ukiacha kiwango kidogo ndani ya nchi!
 
Back
Top Bottom