Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 441
- 1,065
- Thread starter
- #21
Wajichangie wao kwa wao kwanza waache kukopa hovyo mitaani jambo linaloshusha heshima yao.Unataka wakuchangie wewe
Hivi unataarifa kwamba siku hizi walimu wanafuatwa kudaiwa madeni ofisini jambo linalowaambisha mbele ya wanafunzi??
Mikopo umiza wateja wakubwa ni walimu. Leo Walimu wengi kadi zao za beñki ziko mikononi mwa wakopeshaji halafu wao wanaona kawaida wako bize wanachangishana hela za kuchukua fomu ya urais?