Pre GE2025 Wakuu wa shule kumchangia fedha ya kuchukua fomu ya Urais Rais Samia 2025, hiki ni "kituko" cha kufungia mwaka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unataka wakuchangie wewe
Wajichangie wao kwa wao kwanza waache kukopa hovyo mitaani jambo linaloshusha heshima yao.

Hivi unataarifa kwamba siku hizi walimu wanafuatwa kudaiwa madeni ofisini jambo linalowaambisha mbele ya wanafunzi??

Mikopo umiza wateja wakubwa ni walimu. Leo Walimu wengi kadi zao za beñki ziko mikononi mwa wakopeshaji halafu wao wanaona kawaida wako bize wanachangishana hela za kuchukua fomu ya urais?
 
Kutoa ni moyo, wahenga walisema.
 
Hawajitambui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukosekana kwa siasa safi ndo tunaona matokeo yake sasa
 
Laki 2 wanazopewa kila mwezi nje ya mshahara ndo zinawazuzua.
Yaani walimu wa TZ sijui kawaloga nani
 
Hata mie, nilisema bora niwe jobless ila sio ualimu, tatizo sio taaluma, ila watu walio ndani ya taaluma ndo michoshoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyerere, Mkapa, Magufuli n.k. wote hao walikuwa walimu. Naona wewe ni mbwabwajaji kama walivyo Wabwabwajaji kama wewe.
 
Michango ya chakula wazazi wanatoa wenyewe kwa hiari ili watoto wapate chakula wawapo shuleni
 
Kwani ukiwa mwalim lazima uwe sisiemu, mbona babaangu ni mwalim lakini ni mjumbe wa chama pinzani, labda hao wanaomchangia mtu hela za kuchukua form ni manyumbu wanatafuta kiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…