Wakuu wa taasisi za ulinzi na usalama Wajiuzulu ili Tume jinai iwe huru

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Kama kweli tuna nia ya dhati ya tume kufanya kazi zake, basi tufuate misingi ya haki.

Taasisi ya Rais kuunda tume ya kuchunguza Jinai, ina maana ya Wakuu wote wa taasisi za ulinzi, usalama wanatakiwa kujiuzulu kwa hiyari kabla tume haijaanza kazi. Ni kanuni za Utawala bora wala si hiyari.

Ndio utaratibu wa kimataifa wa kuchunguza Jinai.

Mkiona wanaendelea kuwa Ofisini, jueni ni Danganya toto.

Mifano ipo;

Jackie Selebi wa Afrika Kusini.
Aliondolewa/alisimamishwa mwaka 2008 wakati wa uchunguzi wa tuhuma za rushwa na uhusiano na makundi ya uhalifu.

Bheki Cele alipokuwa Kamishna wa Polisi Afrika Kusini, alisimamishwa kazi mwaka 2011 kutokana na uchunguzi kuhusu zabuni za majengo ya polisi.

Hata Tanzania tuna mifano ya Viongozi waliojiuzulu kipisha Uchunguzi huru.

Edward Lowassa alijiuzulu uwaziri mkuu mwaka 2008 kufuatia kashfa ya mkataba wa kampuni ya umeme ya Richmond.

Andrew Chenge aliwahi kujiuzulu nafasi ya Waziri wa Miundombinu mwaka 2008 baada ya kuhusishwa na tuhuma zilizotokana na sakata la rada ya BAE Systems.

Nazir Karamagi alijiuzulu pia kipindi cha sakata la Richmond mwaka 2008

Daniel Yona aliwahi kuachia nafasi kutokana na shinikizo lililohusiana na mikataba ya madini.

Mauaji ya watu zaidi ya 500 si tishio kuliko Rada?

Kwa ufupi, hawa watu waongoza hizi taasisi wanatakiwa Wajiuzulu, Wasisubiri Rais awafukuze.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Kamishna Jenerali wa Zimamoto na Uokoaji, Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS).

Otherwise hii tume ya Jaji wa Mahakama ya Rufani, Shabani Ally Lila, Mwenyekiti Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya ghasia ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 ni danganya toto.

Mtoto wa Kizimkazi aliyeolewa huko Jambiani, anawachezesha kanyamazongo Watanganyika. 🤣🤣🤣🤣
 
Taasisi ya Rais kuunda tume ya kuchunguza Jinai, ina maana ya Wakuu wote wq taasisi za ulinzi, usalama wanatakiwa kujiuzulu kwa hiyari kabla tume haijaanza kazi. Ni kanuni za Utawala bora wala si hiyari.

Ndio utaratibu wa kimataifa wa kuchunguza Jinai.

Mkiona wanaendelea kuwa Ofisini, jueni ni Danganya toto.

Mtoto wa Kizimkazi aliyeolewa huko Jambiani, anawachezesha kanyamazongo Watanganyika. 🤣🤣🤣🤣
Wewe na akili zako zote unaona ni sawa Samia, ambaye ndo mtuhumiwa wa kwanza, kuunda hiyo tume?

That’s some joke business.
 
Tuna mifano ya Majaji waliooongoza tume zikaja na majibu tofauti na rais alitegemea. Mfano tume ya Nyalali, tume ya Walioba. Marais walijua watabebwa.. Jaji anayejua kazi yake haangalii usoni.. Anakuhukumu kama hakujui.. Ngoja tumuone huyu Jaji muislamu atakachofanya
 
You are so naive!

Katika hizo tume za hao majaji uliowataja, zilikuwa zinachunguza mauaji yaliyofanywa na Rais aliyewateua?

Viwango hivi vya ujinga na upumbavu ndo mtaji wa CCM.

Watu wameuliwa kwa maagizo yaliyotolewa na Samia.

Halafu Samia huyo huyo anaunda tume mbili za kuyachunguza hayo mauaji.

Halafu kabisa unaonyesha imani na hizo tume?

How dumb are you????
 
Tarehe 29 October Samia na Hao Wakuu wa vyombo vya usalama walifanya Coup de e'tat.

Kwa maana nyingine CCM ilitoa fursa kuja kupinduliwa kijeshi
 
Kama kweli tuna nia ya dhati ya tume kufanya kazi zake, basi tufuate misingi ya haki.

Taasisi ya Rais kuunda tume ya kuchunguza Jinai, ina maana ya Wakuu wote wa taasisi za ulinzi, usalama wanatakiwa kujiuzulu kwa hiyari kabla tume haijaanza kazi. Ni kanuni za Utawala bora wala si hiyari.

Ndio utaratibu wa kimataifa wa kuchunguza Jinai.

Mkiona wanaendelea kuwa Ofisini, jueni ni Danganya toto.

Mifano ipo;

Jackie Selebi wa Afrika Kusini.
Aliondolewa/alisimamishwa mwaka 2008 wakati wa uchunguzi wa tuhuma za rushwa na uhusiano na makundi ya uhalifu.

Bheki Cele alipokuwa Kamishna wa Polisi Afrika Kusini, alisimamishwa kazi mwaka 2011 kutokana na uchunguzi kuhusu zabuni za majengo ya polisi.

Hata Tanzania tuna mifano ya Viongozi waliojiuzulu kipisha Uchunguzi huru.

Edward Lowassa alijiuzulu uwaziri mkuu mwaka 2008 kufuatia kashfa ya mkataba wa kampuni ya umeme ya Richmond.

Andrew Chenge aliwahi kujiuzulu nafasi ya Waziri wa Miundombinu mwaka 2008 baada ya kuhusishwa na tuhuma zilizotokana na sakata la rada ya BAE Systems.

Nazir Karamagi alijiuzulu pia kipindi cha sakata la Richmond mwaka 2008

Daniel Yona aliwahi kuachia nafasi kutokana na shinikizo lililohusiana na mikataba ya madini.

Mauaji ya watu zaidi ya 500 si tishio kuliko Rada?

Kwa ufupi, hawa watu waongoza hizi taasisi wanatakiwa Wajiuzulu, Wasisubiri Rais awafukuze.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Kamishna Jenerali wa Zimamoto na Uokoaji, Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS).

Otherwise hii tume ya Jaji wa Mahakama ya Rufani, Shabani Ally Lila, Mwenyekiti Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya ghasia ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 ni danganya toto.

Mtoto wa Kizimkazi aliyeolewa huko Jambiani, anawachezesha kanyamazongo Watanganyika. 🤣🤣🤣🤣
Gentleman,
hilo sio muhimu hata kidogo,
kwasababu wahusika wote wa kupanga, kuratibu, kuchochea, kufadhili na kutekeleza ghasia zilizopelekea uharibifu na maafa ya wananchi na watoto wasio na hatia Oct 29.2025, watafikiwa na mkono wa sheria huko walipo, moja moja bila mbambamba wala kiherehere cha mdau yeyote wa JF,

ni muhimu sana kua mstahilivu na wenye subra na kuiacha tume jinai ifanye kazi yake kwa uhuru na nafasi 🐒
 
Gentleman,
hilo sio muhimu hata kidogo,
kwasababu wahusika wote wa kupanga, kuratibu, kuchochea, kufadhili na kutekeleza ghasia zilizopelekea uharibifu na maafa ya wananchi na watoto wasio na hatia Oct 29.2025, watafikiwa na mkono wa sheria huko walipo, moja moja bila mbambamba wala kiherehere cha mdau yeyote wa JF,

ni muhimu sana kua mstahilivu na wenye subra na kuiacha tume jinai ifanye kazi yake kwa uhuru na nafasi
 
You are so naive!

Katika hizo tume za hao majaji uliowataja, zilikuwa zinachunguza mauaji yaliyofanywa na Rais aliyewateua?

Viwango hivi vya ujinga na upumbavu ndo mtaji wa CCM.

Watu wameuliwa kwa maagizo yaliyotolewa na Samia.

Halafu Samia huyo huyo anaunda tume mbili za kuyachunguza hayo mauaji.

Halafu kabisa unaonyesha imani na hizo tume?

How dumb are you????
Nani tunaongea vitu tofauti. Wapi nimeonesha imani.. Though kila mtu ana mawazo yake. Mimi nataka Wajiuzulu kwanza kabla ya tume.

Ni kweli Samia anatuchezea, lakini hatuwezi kaa kimya...

Muoutsmart kama nawe wataka
 
Back
Top Bottom