LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
Media zimekusanywa pamoja kiranja mkuu akiwa Ayubu wa TBC na monitor wa wahariri akiwa Balile. Maana yake habari zitakoripotiwa ni zile za upande mmoja tu na upande wa pili habari zake hazitaripotiwa na media hizo, wananchi watakuwa gizani upande wa pili hawatajua kinachoendelea kwa propaganda za kuvunjika kwa amani