Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Hii ni janja au akili mbovu? Yaani mnawapa boda boda lita tatu za mafuta kila anapopita rais Samia na kuwaambia boda wabebe raia ili kuonekana kuna nyomi linalomkubali mama?
Ukweli ni kuwa hii ni hadaa ya kufa mtu.
Boda boda wanajipatia mafuya ya bure tu.
Hii imetokea kila mahala. Msilete ubishi.
Ukweli ni kuwa hii ni hadaa ya kufa mtu.
Boda boda wanajipatia mafuya ya bure tu.
Hii imetokea kila mahala. Msilete ubishi.