Yaani sikuhizi mmekosa yakuongea mnaanza kutunga uongo wa aina hiyo? sasa hivi kila mahala mama anapopita nyomi kama lote sasa wewe kaa na chuki zako mama anaupiga mwingi mpaka mbowe kaukubali na hiyo chuki yako sijui utaipeleka wapi maana hakuna upinzani tena mbowe ana ramba asali tu sasa hivi kawaacha wapuuzi kama nyie muendelee kubweka kwenye mitandaoHii ni janja au akili mbovu? Yaani mnawapa bodq bodq lita tatu za mafuta kila anapopita rais Samia na kuwaambia boda wabebe raia ili kuonekana kuna nyomi linalomkubali mama?
Ukweli ni kuwa hii ni hadaa ya kufa mtu.
Boda boda wanajipatia mafuya ya bure tu.
Hii imetokea kila mahala. Msilete ubishi.