Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Mmeanza lugha zenu hata Maridhiano badoWalishajua weakness zake kuwa anapenda sifa
Mwenyekiti wa chawa ameshawasihi chawa wake mmpunguze mihemko na uwana harakati koko usiokuwa na faida kwa chama wala taifa, lakini bado chawa hamtaki kusikia. Mnaendelea na propaganda mfu matokeo yake uchaguzi unafika mnaangukia pua na kuanza kulalama kuwa mmeibiwa uchaguzi. Mawazo yako na ya chawa wenzako hapa JF sio ndo mawazo ya watanzania wote akiwemo mwenyekiti wenu wa chawa.Hii ni janja au akili mbovu? Yaani mnawapa bodq bodq lita tatu za mafuta kila anapopita rais Samia na kuwaambia boda wabebe raia ili kuonekana kuna nyomi linalomkubali mama?
Ukweli ni kuwa hii ni hadaa ya kufa mtu.
Boda boda wanajipatia mafuya ya bure tu.
Hii imetokea kila mahala. Msilete ubishi.
Tena wakati wa magufuli ndio lilitia fora kabisa. Alikuwa tapeli sana yule mbaba.Hii ni janja au akili mbovu? Yaani mnawapa bodq bodq lita tatu za mafuta kila anapopita rais Samia na kuwaambia boda wabebe raia ili kuonekana kuna nyomi linalomkubali mama?
Ukweli ni kuwa hii ni hadaa ya kufa mtu.
Boda boda wanajipatia mafuya ya bure tu.
Hii imetokea kila mahala. Msilete ubishi.
Na bado boda boda wajanja walimkimbia baada ya kujaziwa mafuta.Hata Tundu Lisu wakati wa kampeni alikuwa anagawa wese lita 5 kwa bodaboda
NCHI ya VITUKO kila UCHAO hivi hata URUSI Wanafanya hivyo hivyo?Hii ni janja au akili mbovu? Yaani mnawapa bodq bodq lita tatu za mafuta kila anapopita rais Samia na kuwaambia boda wabebe raia ili kuonekana kuna nyomi linalomkubali mama?
Ukweli ni kuwa hii ni hadaa ya kufa mtu.
Boda boda wanajipatia mafuya ya bure tu.
Hii imetokea kila mahala. Msilete ubishi.
Hii ni janja au akili mbovu? Yaani mnawapa bodq bodq lita tatu za mafuta kila anapopita rais Samia na kuwaambia boda wabebe raia ili kuonekana kuna nyomi linalomkubali mama?
Ukweli ni kuwa hii ni hadaa ya kufa mtu.
Boda boda wanajipatia mafuya ya bure tu.
Hii imetokea kila mahala. Msilete ubishi.
Si jambo jipya hili. Walishazoea kufanya haya miaka yote. Kumbe kutokukubalika kwao hakujaanza leo! Katiba mpya ni sasa!Hii ni janja au akili mbovu? Yaani mnawapa bodq bodq lita tatu za mafuta kila anapopita rais Samia na kuwaambia boda wabebe raia ili kuonekana kuna nyomi linalomkubali mama?
Ukweli ni kuwa hii ni hadaa ya kufa mtu.
Boda boda wanajipatia mafuya ya bure tu.
Hii imetokea kila mahala. Msilete ubishi.
Kusema tu ukweli hii tabia ipo kwa vyama vyote na ya miaka mingi tu.Hii tabia muasisi wake alikuwa ni dhalimu.
Na kwingine yanaandaliwa maandamano 'ya kumpongeza', halafu watumishi wa umma wanalazimishwa kuhudhuria! Pongezi gani za kulazimishana? Ama kweli ujinga na umaskini ni laana!!Hii ni janja au akili mbovu? Yaani mnawapa bodq bodq lita tatu za mafuta kila anapopita rais Samia na kuwaambia boda wabebe raia ili kuonekana kuna nyomi linalomkubali mama?
Ukweli ni kuwa hii ni hadaa ya kufa mtu.
Boda boda wanajipatia mafuya ya bure tu.
Hii imetokea kila mahala. Msilete ubishi.
Na wewe ficha ujinga wako kidogo, kwani ni lazima watu wote wawe na mtazamo kama wako? Nini maana ya kutumia utashi wako uliopewa na Mungu? Chama chako pia kinaweza kikawa "bloody fuckurs" na wewe ukawa chawa kama chawa wengine tu!Mwenyekiti wa chawa ameshawasihi chawa wake mmpunguze mihemko na uwana harakati koko usiokuwa na faida kwa chama wala taifa, lakini bado chawa hamtaki kusikia. Mnaendelea na propaganda mfu matokeo yake uchaguzi unafika mnaangukia pua na kuanza kulalama kuwa mmeibiwa uchaguzi. Mawazo yako na ya chawa wenzako hapa JF sio ndo mawazo ya watanzania wote akiwemo mwenyekiti wenu wa chawa.