Wakuu wa Wilaya mpo tayari?

Wakuu wa Wilaya mpo tayari?

Pascal Mayalla naskia ameula aseee kapewa Wilaya nae daaaah Hatimae
Mkuu Papa, the Shark , kuna watu kuwa DC ni kuula na kuna watu kuwa DC is a waste!. Nafasi yoyote ya uteuzi na mkuu wa nchi ni heshima kubwa, ila kuna baadhi ya watu kuwateua nafasi za kutumwa tumwa ni wastage!. Mfano mtu kama mimi, nimekuwa mtangazaji kwa zaidi ya miaka 30, sasa ni wakili wa kujitegemea umfanye DC! kiukweli its a waste!. Kuna umri wa kutumwa tumwa na umri wa kujituma, kwa mimi kutumwa at this age!, its a bit too little to late!. Please Gimme a break!. Mimi saizi yangu ni lile jambo letu lile!.

Kwani unadhani Mama haingii humu?. Mbona hili la kuteuliwa niliisha litolea ufafanuzi humu, mimi na U DC wapi na wapi?. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
 
Kuna watu kuwa DC ni kuula na kuna watu kuwa DC is a waste!. Mtu ni mtangazaji wakujitegemea na wakili wa kujitegemea umfanye DC!. Gimme a break!.
Kwani unadhani Mama haingii humu?. Mbona hili niliisha litolea ufafanuzi humu, mimi na U DC wapi na wapi?.
P
Ila kweli, we kwa sasa umri wako sio wa kuanza fukuzana na watoto wadogo
 
Kuna watu kuwa DC ni kuula na kuna watu kuwa DC is a waste!. Mtu ni mtangazaji wakujitegemea na wakili wa kujitegemea umfanye DC!. Gimme a break!.
Kwani unadhani Mama haingii humu?. Mbona hili niliisha litolea ufafanuzi humu, mimi na U DC wapi na wapi?. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
Kweli kabisa mkuu wanakuonea mtu mwenye confidence ya kumtwanga swali zito kama lile mh raisi then umuweke daraja moja na Kina Jokate,Niki wa pili!???,,thats crazy and not fair
 
Mkuu TADPOLE, ni vile wana jf tuna equal status, hivyo watu humu wananichukulia poa!, mtu nimetangaza kwa miaka 30, leo nifanywe kuwa DC to do what?!. Kuna baadhi ya watu wanaona mtu kuteuliwa kuwa DC is big deal!, kiukweli kabisa kwa baadhi yetu wenye shughuli zetu kulisaidia taifa, kuteuliwa kuwa DC, is a waste!. Mimi saizi yangu ni lile jambo letu lile!.
P
 
Mkuu TADPOLE, ni vile wana jf tuna equal status, hivyo watu humu wananichukulia poa!, mtu nimetangaza kwa miaka 30, leo nifanywe kuwa DC to do what?. Kuna baadhi ya watu kuteuliwa kuwa DC is a waste!. Mimi zaizi yangu ni lile jambo letu lile!.
P
Yes lile jambo letu linakufaa kabisa sema unakwama padogo tu huandai kambi strong toka muda wewe unakurupuka tu jambo letu ni mwezi ujao ww unachukua form mwezi huu unaingia ukumbin hakuna hata anayekujua na wakati huo wapinzani wako wameshakuwa na kambi tyr...Huyy msando tunayemuongelea humu kashaanza kutengeneza kambi yake kwa ajili ya Morogoro 2025 japokuwa hawez kupita ila strategies zake ulitakiwa upite nazo ww
 
Mkuu TADPOLE, ni vile wana jf tuna equal status, hivyo watu humu wananichukulia poa!, mtu nimetangaza kwa miaka 30, leo nifanywe kuwa DC to do what?. Kuna baadhi ya watu kuteuliwa kuwa DC is a waste!. Mimi zaizi yangu ni lile jambo letu lile!.
P
Tunakuombea sana hasa mimi mkulima wa parachichi huku Njombe Iturike
 
Kuna watu kuwa DC ni kuula na kuna watu kuwa DC is a waste!. Mtu ni mtangazaji wakujitegemea na wakili wa kujitegemea umfanye DC! to do what ny God?!. Kuna umri wa kutumwa tumwa na umri wa kujituma, kwa mimi kutumwa at this age!, its a bit too little to late!. Please Gimme a break!. Mimi saizi yangu ni lile jambo langu!.

Kwani unadhani Mama haingii humu?. Mbona hili niliisha litolea ufafanuzi humu, mimi na U DC wapi na wapi?. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
ankal nimependa majibu yako ingawa yana dhharau na kashfa ndani yake

Lile jambo lako subiri tumalize chaguzi za ndani za chama
 
Kuna watu kuwa DC ni kuula na kuna watu kuwa DC is a waste!. Nafasi yoyote ya uteuzi na mkuu wa nchi ni heshima kubwa, ila kuna baadhi ya watu kuwateua nafasi za kutumwa tumwa ni wastage!. Mfano mtu kama mimi, nimekuwa mtangazaji kwa zaidi ya miaka 30, sasa ni wakili wa kujitegemea umfanye DC! kiukweli its a waste!. Kuna umri wa kutumwa tumwa na umri wa kujituma, kwa mimi kutumwa at this age!, its a bit too little to late!. Please Gimme a break!. Mimi saizi yangu ni lile jambo letu lile!.

Kwani unadhani Mama haingii humu?. Mbona hili la kuteuliwa niliisha litolea ufafanuzi humu, mimi na U DC wapi na wapi?. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P

Kazi za kuteuliwa leo kesho umetenguliwa ni udhalilishaji na kupoteza muda. I always wonder kwanini watu huwa wanafurahia na kukubali hizi kazi as though ni jambo la maana sana wakati kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya.
 
P, vitu vingine inabidi kubaki navyo kwa mtizamo wako. Kwani ni sawa na kujenga ukuta wa matofari huku unaogelea ili ukaunomoe.

1: Hutaki kutumwa na Rais sehemu fulani au kitu fulani?
2: Ulitaka/unataka kutumwe na wananchi? Lakini njiani utakutana nao wote hapo juu.

Bora kusema, msimamo wako ni free rage/grazing-kujitaftia siyo zero grazing/ under directives.

Wote wanaweza kukutuma na wana nafasi zao katika hilo na zaidi ya hapo, usiwapangie waziwazi wakutume nini, wapi na wakati gani?
Wakati mwingine wambie tu ahsante kwa hili.
 
Kazi za kuteuliwa leo kesho umetenguliwa ni udhalilishaji na kupoteza muda. I always wonder kwanini watu huwa wanafurahia na kukubali hizi kazi as though ni jambo la maana sana wakati kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya.
hahahahaha

Huwa wanapenda kwanza unakua mteule wa raisi, pili ile hali ya kua mh .nje kn vx inakusubiri,

Mengine ni kula tozo, ukitenguliwa ni bahati mby
 
Back
Top Bottom