Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubunge si kazi ya kutumwa na wananchi wa eneo/nchi husika?Mkuu Fumadilu Kalimanzila, kwanza japo mimi ni wakili ila mimi sio wakili msomi, mimi ni wakili mtangazaji!.
Hapa kweli nakubali, kidhungu kigumu!, niliposema kwa baadhi ya watu U DC is a waste, simaanishi U DC ndio a waste, bali kwa mtu mwenye shughuli zake za kulisaidia taifa, kuteuliwa kuwa DC ni kuwa wasted!, mfano mzuri ni mtu kama Msando, wakili wa kujitegemea na mfanyabiashara mkubwa, kuwa DC, kwake is a waste!, angeweza kufanya mambo makubwa mazuri yenye manufaa kwa taifa hili kuliko kuwa DC!.
DC ni mtu wa kutumwa, EALA ni kuitumikia nchi!.
P
HUWA NIKISEMA NI ZUZU MAZUZU WANASEMA NATUKANA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117]mimi nilikuwa nashangaa kwanini sa100 ajamwona PascalMkuu Papa, the Shark , kuna watu kuwa DC ni kuula na kuna watu kuwa DC is a waste!. Nafasi yoyote ya uteuzi na mkuu wa nchi ni heshima kubwa, ila kuna baadhi ya watu kuwateua nafasi za kutumwa tumwa ni wastage!. Mfano mtu kama mimi, nimekuwa mtangazaji kwa zaidi ya miaka 30, sasa ni wakili wa kujitegemea umfanye DC! kiukweli its a waste!. Kuna umri wa kutumwa tumwa na umri wa kujituma, kwa mimi kutumwa at this age!, its a bit too little to late!. Please Gimme a break!. Mimi saizi yangu ni lile jambo letu lile!.
Kwani unadhani Mama haingii humu?. Mbona hili la kuteuliwa niliisha litolea ufafanuzi humu, mimi na U DC wapi na wapi?. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
cUbunge si kazi ya kutumwa na wananchi wa eneo/nchi husika?
Kwa umri wako tunapaswa kutumwa na wananchi.Mkuu Papa, the Shark , kuna watu kuwa DC ni kuula na kuna watu kuwa DC is a waste!. Nafasi yoyote ya uteuzi na mkuu wa nchi ni heshima kubwa, ila kuna baadhi ya watu kuwateua nafasi za kutumwa tumwa ni wastage!. Mfano mtu kama mimi, nimekuwa mtangazaji kwa zaidi ya miaka 30, sasa ni wakili wa kujitegemea umfanye DC! kiukweli its a waste!. Kuna umri wa kutumwa tumwa na umri wa kujituma, kwa mimi kutumwa at this age!, its a bit too little to late!. Please Gimme a break!. Mimi saizi yangu ni lile jambo letu lile!.
Kwani unadhani Mama haingii humu?. Mbona hili la kuteuliwa niliisha litolea ufafanuzi humu, mimi na U DC wapi na wapi?. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
Nafikiri logic yake ni kuwa UDC hautaki Sasa wewe DC povu la nini?mengine mwachie mwenyewe.Wakili msomi vipi?
Haya maneno naona kama huyatumii vizuri!
"Waste" na "Wastage of time"!
Waste ni takataka,sasa nikuulize ,Je UDC ni takataka?
"Wastage of time" ni kupoteza muda, hapo umetumia vizuri lakini logic behind ni utumbo.
Leadership is all about serving other people and not yourself!
Kwanini uone UDC ni takataka lakini Ubunge wa EALA ni deal?
Jibu ni kuwa you are not a partiot but rather a selfish monger dies with hunger (Mayalla as your name depicts)!
Ndo wanao kwa misha Watanzania kupta maisha bora?Mnaosali anzeni kusali sana, mnaoroga rogeni mno na wale mnaoabudu mizimu kama mimi tafadhali iombeni zaidi kwani yajayo yanaweza yakafurahisha na hata yakaumiza pia.
Sikia tukwambie behind the scene sasa,Morogoro sio kma wilaya nyingine wakimkubali mtu wao huyohuyo wanapita nae regardless kawafanyia mazuri au mabaya yaani owa ufupi Morogoro kwa Abood hawpindui..Anachokosea Msando ni kujaribu kutengeneza team ambayo ina watu dhaifu ambao hawana impact kwake kwenye mchakato wako wa kusaka ubunge ngoja nikwambie machache sasa:..Msando na Abood kama hawako vizuri vile, Msando anapiga kazi na Yuko karibu sana na wananchi, hasa chinga, anatatua migogoro ya ardhi, na anajua jinsi ya kuongea nao.
Ni Msando ndio aliwawekea chinga vibanda standard sana pale soko kuu kingalu na kwingine, Ile stendi ya mafiga yeye ndio kaipa uhai, nadhani Morogoro bado inamuhitaji kwa miaka kama mitano.
Japo Mzee Abood ana wasiwasi kwamba anaweza kupita na jimbo.
Kitu pekee alichofanya Abood Morogoro ni kuwazika waluguru kwa kutumia mabasi yake, hajafanya chochote kuwatumikia wakiwa hai
Mnyele alipangua ile kesi yake kubwa??Kuna wakili Mnyele, alikuwa na Marando, akateuliwa DC Tabora huko, aliacha, maslahi duni.
Akipata instruction ya court of appeal haipungui milioni tano, na si kesi moja, bado mikataba, appearance High Court, District Court, Resident Magistrates Court, Tribunals ,retainer fee za makampuni
Ukiteuliwa DC utakataa?Mkuu Papa, the Shark , kuna watu kuwa DC ni kuula na kuna watu kuwa DC is a waste!. Nafasi yoyote ya uteuzi na mkuu wa nchi ni heshima kubwa, ila kuna baadhi ya watu kuwateua nafasi za kutumwa tumwa ni wastage!. Mfano mtu kama mimi, nimekuwa mtangazaji kwa zaidi ya miaka 30, sasa ni wakili wa kujitegemea umfanye DC! kiukweli its a waste!. Kuna umri wa kutumwa tumwa na umri wa kujituma, kwa mimi kutumwa at this age!, its a bit too little to late!. Please Gimme a break!. Mimi saizi yangu ni lile jambo letu lile!.
Kwani unadhani Mama haingii humu?. Mbona hili la kuteuliwa niliisha litolea ufafanuzi humu, mimi na U DC wapi na wapi?. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
Sio nikiteuliwa DC nitakataa, nimeisha mwambia wazi kabisa mteuzi, mimi sihitaji kuteuliwa DC! Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!Ukiteuliwa DC utakataa?
Its true ni ajabu wakili wa kujitegemea ambaye ni seccessiful kukubali kuwa DC!.Kuna wakili Mnyele, alikuwa na Marando, akateuliwa DC Tabora huko, aliacha, maslahi duni.
Akipata instruction ya court of appeal haipungui milioni tano, na si kesi moja, bado mikataba, appearance High Court, District Court, Resident Magistrates Court, Tribunals ,retainer fee za makampuni
Its true ni ajabu wakili wa kujitegemea ambaye ni seccessiful kukubali kuwa DC!.
P
Its true ni ajabu wakili wa kujitegemea ambaye ni seccessiful kukubali kuwa DC!.
P
I don't believe kwenye kufanyiwa connection, I believe in connectivity, mtu wewe mwenyewe kuwa well connected. Hivyo mimi sio mtu wa ma connection kabisa!.Mayalla nifanyie koneksheni ya udas. Nina sifa zote. Detail zangu nakupatiaje?
Unajichanganya!kitendo cha ww kwenda huko means umetumwa kuitangaza ili ulipwe....kutumwa hakuishi hadi unaingia kaburini....kutumwa na Rais ni fahari kuliko kutumwa na wanaotumwa na Rais ili utangaze Parachichi....Duh...!. Kumbe wewe Mkuu CIA mgumu ni mtu wa parachichi za Njombe!, nimekuja sana Njombe ku promoti parachichi
P
If it's within your capability you can help and go!, just unblind..!I don't believe kwenye kufanyiwa connection, I believe in connectivity, mtu wewe mwenyewe kuwa well connected. Hivyo mimi sio mtu wa ma connection kabisa!.
P
Nimesikitika.Wakili msomi vipi?