Wakuu wa Wilaya mpo tayari?

Wakuu wa Wilaya mpo tayari?

Kuna watu kuwa DC ni kuula na kuna watu kuwa DC is a waste!. Nafasi yoyote ya uteuzi na mkuu wa nchi ni heshima kubwa, ila kuna baadhi ya watu kuwateua nafasi za kutumwa tumwa ni wastage!. Mfano mtu kama mimi, nimekuwa mtangazaji kwa zaidi ya miaka 30, sasa ni wakili wa kujitegemea umfanye DC! kiukweli its a waste!. Kuna umri wa kutumwa tumwa na umri wa kujituma, kwa mimi kutumwa at this age!, its a bit too little to late!. Please Gimme a break!. Mimi saizi yangu ni lile jambo letu lile!.

Kwani unadhani Mama haingii humu?. Mbona hili la kuteuliwa niliisha litolea ufafanuzi humu, mimi na U DC wapi na wapi?. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
Wakili msomi vipi?
Haya maneno naona kama huyatumii vizuri!
"Waste" na "Wastage of time"!
Waste ni takataka,sasa nikuulize ,Je UDC ni takataka?
"Wastage of time" ni kupoteza muda, hapo umetumia vizuri lakini logic behind ni utumbo.
Leadership is all about serving other people and not yourself!
Kwanini uone UDC ni takataka lakini Ubunge wa EALA ni deal?
Jibu ni kuwa you are not a partiot but rather a selfish monger dies with hunger (Mayalla as your name depicts)!
 
Huko E.A tu wanafata ulaji tu

Ova
 
Mkuu, chukua uDC ustaafu kiufahari... 😀😀😀
Umri ukishasogea, hutakiwi kufanya kazi ngumu...
 
Kuna watu kuwa DC ni kuula na kuna watu kuwa DC is a waste!. Nafasi yoyote ya uteuzi na mkuu wa nchi ni heshima kubwa, ila kuna baadhi ya watu kuwateua nafasi za kutumwa tumwa ni wastage!. Mfano mtu kama mimi, nimekuwa mtangazaji kwa zaidi ya miaka 30, sasa ni wakili wa kujitegemea umfanye DC! kiukweli its a waste!. Kuna umri wa kutumwa tumwa na umri wa kujituma, kwa mimi kutumwa at this age!, its a bit too little to late!. Please Gimme a break!. Mimi saizi yangu ni lile jambo letu lile!.

Kwani unadhani Mama haingii humu?. Mbona hili la kuteuliwa niliisha litolea ufafanuzi humu, mimi na U DC wapi na wapi?. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
I Safi sana pata TOT mbili kwa mangi.
 
Wakili msomi vipi?
Haya maneno naona kama huyatumii vizuri!
"Waste" na "Wastage of time"!
Waste ni takataka,sasa nikuulize ,Je UDC ni takataka?
"Wastage of time" ni kupoteza muda, hapo umetumia vizuri lakini logic behind ni utumbo.
Leadership is all about serving other people and not yourself!
Kwanini uone UDC ni takataka lakini Ubunge wa EALA ni deal?
Jibu ni kuwa you are not a partiot but rather a selfish monger dies with hunger (Mayalla as your name depicts)!
hata mm nimemwambia una majibu ya dharau kwakua ana jambo lake kule acha wajumbe wakaamue km walivyoamua kawe
 
Pascal Mayalla naskia ameula aseee kapewa Wilaya nae daaaah Hatimae

Halafu nimegundua hapa jukwaani wakili msomi Pascal hua ikifikia teuzi tunamtania sana halafu yeye anachukulia serious kumbe wenzie tunafanya jokes siku akifahamu ni jokes atakua anakaa kimya tu, pascal mtu wa wawatu yule mzee hata akiwa kiongozi anafikika kirahisi na iwe wa chama chake au wapinzani
 
Kuna watu kuwa DC ni kuula na kuna watu kuwa DC is a waste!. Nafasi yoyote ya uteuzi na mkuu wa nchi ni heshima kubwa, ila kuna baadhi ya watu kuwateua nafasi za kutumwa tumwa ni wastage!. Mfano mtu kama mimi, nimekuwa mtangazaji kwa zaidi ya miaka 30, sasa ni wakili wa kujitegemea umfanye DC! kiukweli its a waste!. Kuna umri wa kutumwa tumwa na umri wa kujituma, kwa mimi kutumwa at this age!, its a bit too little to late!. Please Gimme a break!. Mimi saizi yangu ni lile jambo letu lile!.

Kwani unadhani Mama haingii humu?. Mbona hili la kuteuliwa niliisha litolea ufafanuzi humu, mimi na U DC wapi na wapi?. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
Nasubiri kuona P,ila kama unamaanisha ni jambo kubwa endelea kujituma Kwa maslahi ya Taifa.
 
Mkuu TADPOLE, ni vile wana jf tuna equal status, hivyo watu humu wananichukulia poa!, mtu nimetangaza kwa miaka 30, leo nifanywe kuwa DC to do what?!. Kuna baadhi ya watu wanaona mtu kuteuliwa kuwa DC is big deal!, kiukweli kabisa kwa baadhi yetu wenye shughuli zetu kulisaidia taifa, kuteuliwa kuwa DC, is a waste!. Mimi saizi yangu ni lile jambo letu lile!.
P
Unamaanisha mjengoni P,basi Anza kuchagua mlango wa kuingiliamoo🤔
 
Halafu nimegundua hapa jukwaani wakili msomi Pascal hua ikifikia teuzi tunamtania sana halafu yeye anachukulia serious kumbe wenzie tunafanya jokes siku akifahamu ni jokes atakua anakaa kimya tu, pascal mtu wa wawatu yule mzee hata akiwa kiongozi anafikika kirahisi na iwe wa chama chake au wapinzani
Japo anagoma lakini namwombea kwa dhati kabisa apewe ukuu wa wilaya within daresalamu,
 
Halafu nimegundua hapa jukwaani wakili msomi Pascal hua ikifikia teuzi tunamtania sana halafu yeye anachukulia serious kumbe wenzie tunafanya jokes siku akifahamu ni jokes atakua anakaa kimya tu, pascal mtu wa wawatu yule mzee hata akiwa kiongozi anafikika kirahisi na iwe wa chama chake au wapinzani
P Mzee wetu wa Kwa maslahi ya Taifa Hana shida,hajui wajukuu wanavyo cheza na Babu🏃
 
Mkuu TADPOLE, ni vile wana jf tuna equal status, hivyo watu humu wananichukulia poa!, mtu nimetangaza kwa miaka 30, leo nifanywe kuwa DC to do what?!. Kuna baadhi ya watu wanaona mtu kuteuliwa kuwa DC is big deal!, kiukweli kabisa kwa baadhi yetu wenye shughuli zetu kulisaidia taifa, kuteuliwa kuwa DC, is a waste!. Mimi saizi yangu ni lile jambo letu lile!.
P
Watz tunatabia za ovyooo masimango na kusengenyana ndio tunachoweza tuna vitambia flan hivi km vya kaa kuvutana chini..
 
Sikiaa kama P alivyokuwa anawahoji watu Kwa kipindi Cha miaka thelathini lazima ni mkongwe na ameiva vilivyo,hiyo kuhojiwa na Wana JF sioni kama ni shida kwake ila ni menwelewa Huwa humu hata mjukuu wake atataka kujilinganisha nae🤔
 
Wakili msomi vipi?
Mkuu Fumadilu Kalimanzila, kwanza japo mimi ni wakili ila mimi sio wakili msomi, mimi ni wakili mtangazaji!.
Haya maneno naona kama huyatumii vizuri!
"Waste" na "Wastage of time"!
Waste ni takataka,sasa nikuulize ,Je UDC ni takataka?
Hapa kweli nakubali, kidhungu kigumu!, niliposema kwa baadhi ya watu U DC is a waste, simaanishi U DC ndio a waste, sio waste ya uchafu, bali kwa mtu mwenye shughuli zake za kulisaidia taifa, kuteuliwa kuwa DC ni kuwa wasted!, ya kupoteza, mfano mzuri ni mtu kama Msando, wakili wa kujitegemea na mfanyabiashara mkubwa, kuwa DC, kwake is a waste!, angeweza kufanya mambo makubwa mazuri yenye manufaa kwa taifa hili kuliko kuwa DC!.
"Wastage of time" ni kupoteza muda, hapo umetumia vizuri
Leadership is all about serving other people and not yourself!
Kwanini uone UDC ni takataka lakini Ubunge wa EALA ni deal?
DC ni mtu wa kutumwa, EALA ni kuitumikia nchi!.
P
 
Jamaa yako Msando Morogoro nje...unashika mbupu za watu wenye mkoa wao lazima wapite na wewe
Msando na Abood kama hawako vizuri vile, Msando anapiga kazi na Yuko karibu sana na wananchi, hasa chinga, anatatua migogoro ya ardhi, na anajua jinsi ya kuongea nao.

Ni Msando ndio aliwawekea chinga vibanda standard sana pale soko kuu kingalu na kwingine, Ile stendi ya mafiga yeye ndio kaipa uhai, nadhani Morogoro bado inamuhitaji kwa miaka kama mitano.

Japo Mzee Abood ana wasiwasi kwamba anaweza kupita na jimbo.

Kitu pekee alichofanya Abood Morogoro ni kuwazika waluguru kwa kutumia mabasi yake, hajafanya chochote kuwatumikia wakiwa hai
 
Mkuu Fumadilu Kalimanzila, kwanza japo mimi ni wakili ila mimi sio wakili msomi, mimi ni wakili mtangazaji!.

Hapa kweli nakubali, kidhungu kigumu!, niliposema kwa baadhi ya watu U DC is a waste, simaanishi U DC ndio a waste, bali kwa mtu mwenye shughuli zake za kulisaidia taifa, kuteuliwa kuwa DC ni kuwa wasted!, mfano mzuri ni mtu kama Msando, wakili wa kujitegemea na mfanyabiashara mkubwa, kuwa DC, kwake is a waste!, angeweza kufanya mambo makubwa mazuri yenye manufaa kwa taifa hili kuliko kuwa DC!.

DC ni mtu wa kutumwa, EALA ni kuitumikia nchi!.
P
Kuna wakili Mnyele, alikuwa na Marando, akateuliwa DC Tabora huko, aliacha, maslahi duni.

Akipata instruction ya court of appeal haipungui milioni tano, na si kesi moja, bado mikataba, appearance High Court, District Court, Resident Magistrates Court, Tribunals ,retainer fee za makampuni
 
Back
Top Bottom