Wakuu wa Wilaya mpo tayari?

Ubunge si kazi ya kutumwa na wananchi wa eneo/nchi husika?
 
HUWA NIKISEMA NI ZUZU MAZUZU WANASEMA NATUKANA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117]mimi nilikuwa nashangaa kwanini sa100 ajamwona Pascal
 
Kwa umri wako tunapaswa kutumwa na wananchi.
Nafikiri logic yake ni kuwa UDC hautaki Sasa wewe DC povu la nini?mengine mwachie mwenyewe.
 
Mnaosali anzeni kusali sana, mnaoroga rogeni mno na wale mnaoabudu mizimu kama mimi tafadhali iombeni zaidi kwani yajayo yanaweza yakafurahisha na hata yakaumiza pia.
Ndo wanao kwa misha Watanzania kupta maisha bora?
 
Sikia tukwambie behind the scene sasa,Morogoro sio kma wilaya nyingine wakimkubali mtu wao huyohuyo wanapita nae regardless kawafanyia mazuri au mabaya yaani owa ufupi Morogoro kwa Abood hawpindui..Anachokosea Msando ni kujaribu kutengeneza team ambayo ina watu dhaifu ambao hawana impact kwake kwenye mchakato wako wa kusaka ubunge ngoja nikwambie machache sasa:..
1.Ishu ya Msando kuwajengea vibanda machinga iko hivi Msando anauambia umma kwamba amekopa benk hizo pesa za kujengea vibanda kwa dhamana ya mshahara wake wakati behind the scene anawalazimisha halmashauri ya manispaa ndio ilipe deni hilo kitu ambacho kinamfanya awe na mgogoro na viongozi wa Halmashauri
2.Msando anaamini katika kubebwa na team ya Madiwani ambao kimsingi wamechokwa na wananchi na wameshaanza kutengenezewa milango ya kutokea maana chaguzi hizi za ndani ya chama wengi waliopita ni wale ambao haziivi na madiwani(Siasa za Morogoro kuna makundi sana).madiwani hawa kwenye magroup ya WhatsApp wanamtukana sana Abood ni wahuni wahuni ambao viongozi wengi wa kata ndani ya chama hawawakubali na wamepania kuwang'oa 2025 na uwezekano upo pia pale Moro kuna mwenyekiti wa chama wa wilaya ambaye ni mwenyekiti toka enzi hizo za zamani mimi nafanya kazi Morogoro kwa namna nyingine ndio team ya Msando ambaye pia viongozi wengine tena wengi sana wamemchoka Halafu Msando ndio anaside nae..Kwa ujumla Msando anaweza akawa anafanya vitu vizuri lakini team aliyoichagua itamwangusha
 
Mnyele alipangua ile kesi yake kubwa??
 
Ukiteuliwa DC utakataa?
 
Its true ni ajabu wakili wa kujitegemea ambaye ni seccessiful kukubali kuwa DC!.
P
 
Duh...!. Kumbe wewe Mkuu CIA mgumu ni mtu wa parachichi za Njombe!, nimekuja sana Njombe ku promoti parachichi
P
Unajichanganya!kitendo cha ww kwenda huko means umetumwa kuitangaza ili ulipwe....kutumwa hakuishi hadi unaingia kaburini....kutumwa na Rais ni fahari kuliko kutumwa na wanaotumwa na Rais ili utangaze Parachichi....
 
I don't believe kwenye kufanyiwa connection, I believe in connectivity, mtu wewe mwenyewe kuwa well connected. Hivyo mimi sio mtu wa ma connection kabisa!.
P
If it's within your capability you can help and go!, just unblind..!
 
Nimesikitika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…