Wakuu wa wilaya wengi wana tabia kama za Ole sabaya labda uwatoe Gondwe na Jokate, Sabaya media imemponza!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wakuu wa wilaya wengi tu uongozi wao hautofautiani sana na wa Ole sabaya sema tu Ole kiki za kutumia media ndio zimekuwa zikimuumbua.

Lakini kuna maDC na maDAS wana roho za uovu kuliko huyo Ole sabaya.
Fuatilia utagundua ukweli.

Naamini tochi ya mama itamulika kabati zima na kuuwa chawa wote.

Eid Mubarak!
 
Hatutaki tochi ya mama iwamulike tuna katiba mpya itakayofutilia mbali kabisa hivyo vyeo au kuvifanya ni vya kuchaguliwa na wananchi badala ya mtu mmoja kule Chamwino.
Wakuu wa wilaya wengi tu uongozi wao hautofautiani sana na wa Ole sabaya sema tu Ole kiki za kutumia media ndio zimekuwa zikimuumbua.

Lakini kuna maDC na maDAS wana roho za uovu kuliko huyo Ole sabaya.
Fuatilia utagundua ukweli.

Naamini tochi ya mama itamulika kabati zima na kuuwa chawa wote.

Eid Mubarak!
 
Siasa ndivyo ilivyo.nyakati zinabadilika nawashangaa mnaolikuza hili jambo kwani ni jambo geni? utawala fulani ukiondoka basi na watumishi wa utawala huo lazima waondoke au kubadilishwa.

Na bado maelekezo yataendelea kutoka juu zaidi.
 
Bwashee siku hizi umeokoka au ni mtu amehack acc yako?[emoji84]
 
Wakuu wa wilaya wengi tu uongozi wao hautofautiani sana na wa Ole sabaya sema tu Ole kiki za kutumia media ndio zimekuwa zikimuumbua.

Lakini kuna maDC na maDAS wana roho za uovu kuliko huyo Ole sabaya.
Fuatilia utagundua ukweli.

Naamini tochi ya mama itamulika kabati zima na kuuwa chawa wote.

Eid Mubarak!
-> Kabla kutumbuliwa (kipindi cha meko)

Mataga : ole sabaya chapa kazi... nyie wapinzani mnamsingizia ole sabaya..

-> Baada ya ole sabaya kutumbuliwa (baada ya meko kufa)

Mataga : Ole sabaya alikua muonevu tena kuna ma dc na ma rc kama ole sabaya.. mama washughulikie..
 
Siasa ndivyo ilivyo.nyakati zinabadilika nawashangaa mnaolikuza hili jambo kwani ni jambo geni? utawala fulani ukiondoka basi na watumishi wa utawala huo lazima waondoke au kubadilishwa.

Na bado maelekezo yataendelea kutoka juu zaidi.
Kwa hiyo una maanisha utawala wa magufuli ulikua ni utawala wa watu wenye tabia za ole sabaya? Kama ni hivyo tukisema na magufuli nae alikua na tabia za ole sabaya tutakua tumekosea?
 
Sabaya aliitumia media kujisafisha kumbe ndio amejichafua, nashangaa pamoja na tuhuma zote alizokuwa nazo bado mamlaka ya uteuzi ilikuwa bado inamlea.
Kumchinja kobe yataka timing,ile ya clouds ndiyo ilikuwa timing yenyewe. Wale makanjanja wa clouds walijua wanamsafisha kumbe walikuwa wanamuogesha uharo.
 
Back
Top Bottom