Wakuu wapi nitapata futari nzuri Dodoma?

Hakuna pa kuwazidi Chief Asili, wapo hapo town karibu na Nyerere square.

Nenda hapo ukaone thamani ya pesa yako.
 
Hakuna pa kuwazidi Chief Asili, wapo hapo town karibu na Nyerere square.

Nenda hapo ukaone thamani ya pesa yako.
Watu wengi wa class yangu huwa wanaenda hapo nilipopaeleza ila wanaanza kuvurunda. They were far better than chef asili au mwambao
 
Nenda kwa mama abas nyuma ya chako ni chako, uswaz ila mambo yake makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…