Wala bata wa JF

Hauko mwenyew mkuu tuko wengi kama mimi wananijua ni mzee wa lock yani mpaka ifike saa nne mbona ni kelele

Kunywa pombe upate akili ya kupanga maisha sio unalewa kijinga usije ukazima sehem hatari ukapigwa ndonga
 
Nilikaaa nakunywa pombe kwa miaka Zaid ya 20+ ila Sasa nashukuru Mungu huo ulevi napita nao mbali yaaaan labda totoz tu ndio nashindwa kuacha

kilicho akilini kitumie
 
Nilitegemea nitaona VYUPA vya Ajajbu vya kikubwa... Una kula Vant then unasema... POMBE imekuloga??.. kwa mujibu wa wanywaji VANT kubwa zimesha anza chakachuliwa ni kama GONGO tu ndo maana zimekuwa adimu.. xaxa kijana una haki ya kutaka kuja DAR....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…