Wala bata wa JF

Wala bata wa JF

Nahunga mkono hoja mwanaume kama unywi pombe itabidi ....ngoja niishie hapa
Safii natamani wewe ndio ungekua mdogo wangu....pombe ndio kila kitu kwenye maisha, pombe ndio furaha ya maisha,maisha bila pombe si lolote,ipende pombe,iheshimu pombe,
Maisha yafaa nini bila pombe??

Upo kwenye mstari na njia sahihi kabisa,nikiwa na umri kama wako nilikua natembea kabisa na viroba mfukoni,mda wowote na popote nilikua nakunywa.

Mzeebaba usiache pombe na mchukie fala yoyote atakaejaribu kukuweka mbali na pombe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza jaribu yafuatayo

A. Potezea kampani yako (Marafiki) wenye mrengo wa bata. Hapa namaanisha acha kbisa kushinda nao hat ikiwezekana acha kuwasiliana nao.

B. Kama hufanyi mazoezi tafuta gym na ulipie kifurushi cha mwezi ili ikifika jioni ukitoka mishe uende huko.

C. Kama demu ako anakunywa nae piga chini. Kama unaona unaangamia kwenye pombe na una mwanamke anakuenfluence ya nini kuwa nae? Utakufa au firisika yeye atasonga na maisha.

D. Kama unasali basi weka mkazo huko pia.

E. Ona kuwa na pesa ni kitu cha kawaida. Moja ya vitu vinavyotufanya tufanye anasa ni pale tunapopata pesa alafu tunaona nyingi. Watazame walio na pesa zaidi yako alafu jua kwa nini hawafanyi anasa. Nasema anasa kwa sababu kuwasha gari kuja kunywa biere dar yenye ladha ilieile hicho ni kiburi cha pesa [emoji3][emoji3]

Ni hayo tu kama upo serious. Achana na kurogana haya mambo ni habitual
Habar wakuu nazan nimelogwa na POMBE, kwasasa miezi miwili"2" nalewa kila siku hata nkikaa asubuh najikuta nashtuka nalewa tuu,
Kuna siku nliota kwamba nimepigwa pepo lakin nashangaa Sana nikiwa mzima napotezea san nliochokiota, nkilewa nakumbuka why??????
Msaada tafadhal wakuu
Nnamika 20 now mtoto wapekee kwa watoto 3 niwamwisho namimi ndio mwenye namafanikio kwafamilia hapa nmelewa now nipo Moro nawasha Brevic bakuja dar uck huuu kula pombe naludi kesho morn
NB.
Nahisi nakufa kimasihara wakuu.

USHAULIView attachment 1351138View attachment 1351140View attachment 1351141

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safii natamani wewe ndio ungekua mdogo wangu....pombe ndio kila kitu kwenye maisha, pombe ndio furaha ya maisha,maisha bila pombe si lolote,ipende pombe,iheshimu pombe,
Maisha yafaa nini bila pombe??

Upo kwenye mstari na njia sahihi kabisa,nikiwa na umri kama wako nilikua natembea kabisa na viroba mfukoni,mda wowote na popote nilikua nakunywa.

Mzeebaba usiache pombe na mchukie fala yoyote atakaejaribu kukuweka mbali na pombe

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16]safii sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi wenyewe inaonekana umeandika umelewa,unataka acha pombe halafu hobby yako iwe nini kwa mfano? Kata maji dogo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukiliwa jicho kwa ulevi ndio nitakushauri uache pombe ila kwa sasa enjoy yourself!
Piga kilevi uondoe ujinga!
 
Ndaza
IMG_20200209_112416_095.jpeg


Jr[emoji769]
 
Mbona unajiliza liza hovyo mkuu, hiyo pombe umeanza kujifunza kunywa lini???
 
Back
Top Bottom