Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jesus! Ooh my lord
Leo nimetafuta ice creams Kahama nzima nimekosa[emoji55]! Nimetamani hii smoothie maana nna hangover balaa
Dah asante!Pole.. mm nikiumwa kichwa kwa hangover solution inakuwaga ni ice cream kama sio smoothie ya namna hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauko mwenyew mkuu tuko wengi kama mimi wananijua ni mzee wa lock yani mpaka ifike saa nne mbona ni kelele
Kunywa pombe upate akili ya kupanga maisha sio unalewa kijinga usije ukazima sehem hatari ukapigwa ndonga
Jamaa umezingua sana kuzileta hizo picha huku jf hata Kama umeficha sura zetu, ila next time hatuwezi kukaa na wewe kupiga Monde hizi pigo za kishamba yaani unalialia kiasi hiki, mkuu umezingua sana aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Paja takatifu!
Ni miguupekee ya makuku ya kisasa ina lika.. wa kienyeji ni noma.. mfupa umekomaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ningekukisa kwenye hiyo post ningeacha kutumia jf