Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Huyo hayawani ni mtu mbaya sana. Aliona kuwa kinyozi hakulipi zaidi ya kuajiriwa but wewe anakushauri ukanywe makohozi yakeKuna ofisi moja niliingia nikakamkuta jamaa, ananiambia yeye ni kinyozi, ko' akanishauri na mie nijiajili. Nikamuuliza kwanini uliacha kunyoa? Anajibu kwa sababu ya ajira.
Hapo ndo nikaelewa shida ya walio shiba ilipo
Unaandika hivi Kwakuwa upo Keene payrollujasiliamali unaanzia kichwani sio mfukoni wala mtaji...acha kulalamika, wew ndio utalaaniwa
Hakuna ujasiriamali unaoanzia kichwani mkuu acha kudanganya watu, haya ni mambo ya kufikirika, lazima uwe na mtaji ili uwe mjasiriamali.ujasiliamali unaanzia kichwani sio mfukoni wala mtaji...acha kulalamika, wew ndio utalaaniwa
π π π afadhali umemwambia ukweli maana jamaa analeta mistari yake ya ki motivation speaker.Hakuna ujasiriamali unaoanzia kichwani mkuu acha kudanganya watu, haya ni mambo ya kufikirika, lazima uwe na mtaji ili uwe mjasiriamali.
πππππ π π afadhali umemwambia ukweli maana jamaa analeta mistari yake ya ki motivation speaker.
Wachache sana wanaweza kukuelewa.ujasiliamali unaanzia kichwani sio mfukoni wala mtaji...acha kulalamika, wew ndio utalaaniwa
akili yako bado imeganda sana mkuu, fikiri nje ya boxHakuna ujasiriamali unaoanzia kichwani mkuu acha kudanganya watu, haya ni mambo ya kufikirika, lazima uwe na mtaji ili uwe mjasiriamali.
sijaajiriwa, napambana na mazingira yanguUnaandika hivi Kwakuwa upo Keene payroll
Jitafakari! Kama uliwezeshwa kupambana au ulipambana mwenyewe..sijaajiriwa, napambana na mazingira yangu
Kwa hakika ukipambana bila kuanza na mtaji mzuri 90% possibility ni kuzeeka maskiniJitafakari! Kama uliwezeshwa kupambana au ulipambana mwenyewe..
Usipende kutoa kauli za kukatisha tamaa
sijakatisha tamaa mtu, fikiri nje ya box sio kila siku kulalamika taafuta ufumbuzi,anzia hapo ulipo. kuna vitu vingi vya kufanya mfn mdog dalali wa nyumba ana mtaji wa tsh ngap?...mifano ni mingi mno.Jitafakari! Kama uliwezeshwa kupambana au ulipambana mwenyewe..
Usipende kutoa kauli za kukatisha tamaa
Sasa sijui IQ zao ni ndogo au unafiki unawalaMagu na baraza lake zima la mawaziri hakuna hata mmoja kati yao aliyetoka chuo akajiajiri,wote waliajiriwa lkn eti leo wakina Jenista Mhagama wanawaambia vijana wajiajiri wkt yeye mwenyewe alikua ameajiriwa Mwl.,Kigwangala anasema think out of the box wkt yeye mwenyewe aliajiriwa WAMA akabebwa na mama Salma mpk kapata ubunge na kupata mitaji.
ujasiliamali unaanzia kichwani sio mfukoni wala mtaji...acha kulalamika, wew ndio utalaaniwa