Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
- Thread starter
- #21
Huyu bila shaka atakuwa ni motivation speaker wa Forever Livingmawazotu ayotoshi, what if una mipango without ela ya implement?
Huyu bila shaka atakuwa ni motivation speaker wa Forever Livingmawazotu ayotoshi, what if una mipango without ela ya implement?
Wakuu kuna jambo linaniumiza sana.
Jambo lenyewe linaitwa UNAFIKI...
Unafiki.Kuna jamaa mmoja ana page zake pale twitter na Instagram anatoa sana ushauri wa ujasiliamali na kuwachamba watu wanaokamaa na ajira kwamba hakuna bilionea aliyeajiriwa. Cha ajabu sasa uyu mwamba nishakutana nae interview karibu tatu akipambana kuajiriwa
Hiyo ni bahati take. Kuna wamama wanauza uji kariakoo huu mwaka wa kumi bado wanaishi kwa kuungaungaUsisubiri upewe mtaji! Kuna binti alimaliza chuo (business administration) akajiajiri kwa kuuza uji kwa kutembeza mtaani, sasa yupo sawa na hahangaiki na ajira. Mtaji wa kuuza uji sio mkubwa sema watu wanadharau.
Usiwaamini sana wanawake wana mambo mengi hayasemeki hadharani. Mtu uuze uji huu huu afu utoboe usitamani tena ajira? Wamama wengi wametoboaHiyo ni bahati take. Kuna wamama wanauza uji kariakoo huu mwaka wa kumi bado wanaishi kwa kuungaunga
Subiri nikuambie kitu. Watu wengi waliofanikiwa hawasemi siri iliyojificha, watakwambia tu waliyowahi kuyafanya
tuachane na uuzaji wa uji, tafuta sehemu nzuri ya watu wa kipato cha kati na chini, uza chips, ukiuza 50000 faida ni 25000 , ukiwa na nidhamu ya pesa utatoboa. Hata kama una degree usione aibu.Usiwaamini sana wanawake wana mambo mengi hayasemeki hadharani. Mtu uuze uji huu huu afu utoboe usitamani tena ajira? Wamama wengi wametoboa
Binafsi huwa spendezwi na comment za namna hii kwenye mambo seriousMagufuli mitano Tena.
Tutaelewana Tu.
Mkuu biashara sio rahisi kihivyo kama table ya 2. Na ambao biashara zao ndogo ndogo zmesimama wengi ni waajiliwa au wanabiashara zngne tayari kitu kinachowawezesha kusustain ups and downs za biashara zao mpya. Kuna tafiti niliisoma inasema haizid 40% ya biashara mpya zinazofanikiwa kufunga mwaka, na pia haizid 20% ya biashara mpya znazofikisha miaka 3. Na ili tunaliona ata kwa macho mitaani jinsi biashara znavyofunguliwa kwa mbwembwe na kufa kifo cha mende baada ya muda mfupi.tuachane na uuzaji wa uji, tafuta sehemu nzuri ya watu wa kipato cha kati na chini, uza chips, ukiuza 50000 faida ni 25000 , ukiwa na nidhamu ya pesa utatoboa. Hata kama una degree usione aibu.