Lakini timu zinazosajili sana wachezaji wa kigeni si ni Tatu tu?..Sina takwimu rasmi lakini naamini hizi timu nyingine zinazoshiriki Ligi kuu zina wachezaji wachache sana wakigeni..Na hata kwa ujumla uwiano wa wageni na wenyeji katika ligi kuu bado si wa kuogofya..Hili la wachezaji wa kigeni linazorotesha sana vipaji vya Watanzania kupata exposure ili nao waweze kufikia viwango vya juu. Wachezaji 12 wa kigeni? [emoji30][emoji30]
Lakini timu zinazosajili sana wachezaji wa kigeni si ni Tatu tu?..Sina takwimu rasmi lakini naamini hizi timu nyingine zinazoshiriki Ligi kuu zina wachezaji wachache sana wakigeni..Na hata kwa ujumla uwiano wa wageni na wenyeji katika ligi kuu bado si wa kuogofya..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Lakini timu zinazosajili sana wachezaji wa kigeni si ni Tatu tu?..Sina takwimu rasmi lakini naamini hizi timu nyingine zinazoshiriki Ligi kuu zina wachezaji wachache sana wakigeni..Na hata kwa ujumla uwiano wa wageni na wenyeji katika ligi kuu bado si wa kuogofya..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Si mpaka taarifa ziwe rasmiMkuu huyo Miquessone si anaenda Al Ahly na namba yake ya jezi pale Msimbazi ameshapewa Peter Banda.
Lakini pia mmoja kati ya Chama au Mugalu huenda akaondoka pia dirisha hili.
Sasa hiyo 12 itatoka wapi katika mazingira hayo ?
Na huyo Inonga ndio nani pale Simba mbona mie simfahamu
Hili la wachezaji wa kigeni linazorotesha sana vipaji vya Watanzania kupata exposure ili nao waweze kufikia viwango vya juu. Wachezaji 12 wa kigeni? [emoji30][emoji30]
Ninyi UTOPOLO si mlisema Chikwende amevunja Mkataba?Kuna tetesi za chini ya kapeni zinazo sema bodi ya wakurugenzi ilipokaa kikao chake wiki kadhaa zilizo pita imeafikiana kumuomba ndugu Walace Karia aongeze idadi ya wachezaji wanaoruhusiwa kucheza Ligi KUU Tanzania.
Pendekezo ni kuongeza nafasi ziwe 12 kutoka 10 za sasa.
Changamoto hiyo imetokea baada ya Simba kupatwa na kizungumkuti katika kuamua ni nani wamuache na nani wamsajili.
1.Onyango 2. Wawa 3. Chama 4. Luis Miq 5. Mgalu 6. Chikwende 7. Bwalya 8. Morrison 9. Inonga 10. MK 14 11. Banda 12. Lwanga
Kwanini amuondoe mkuu? Au ashachukuliwa na waarabu?Sio ombi la simba ni ombi la utopolo mmesajil wachezaji 12 wa Congo kutoka goba, hapo kwenye list yako ondoa luis.
Timu ya taifa si inachukua na wachezaji wanaocheza nje mkuu (Akina Ulimwengu, Samatta, Msuva, n.k) sasa iweje huo u-mdebwedo uhusishwe na idadi ya wageni kwenye ligi ?Tatizo ni kubwa timu ya Taifa inakuwa mdebwedo na Uingereza tayari hilo la foreign players linaathiri sana kupata wachezaji wa Timu ya Taifa wenye viwango vikubwa.
Timu ya taifa si inachukua na wachezaji wanaocheza nje mkuu (Akina Ulimwengu, Samatta, Msuva, n.k) sasa iweje huo u-mdebwedo uhusishwe na idadi ya wageni kwenye ligi ?
Pia kumbuka hizo Simba na Yanga bila hao wageni ni almost sawa tu na Namungo, KMC au Ruvu Shooting zilizochangamka.
Haziwezi kufika hata robo fainali za mashindano ya Afrika kwa miaka hii.
(Miaka ya 70 the case was different na sasa).
kwasasa mpira biashara mengine haya baadae kidogoHili la wachezaji wa kigeni linazorotesha sana vipaji vya Watanzania kupata exposure ili nao waweze kufikia viwango vya juu. Wachezaji 12 wa kigeni? [emoji30][emoji30]
kwasasa mpira biashara mengine haya baadae kidogo
Kabla wachezaji wa kigeni hawajaongezwa hao wa ndani walikuwa wanapata hiyo exposure ?Hili la wachezaji wa kigeni linazorotesha sana vipaji vya Watanzania kupata exposure ili nao waweze kufikia viwango vya juu. Wachezaji 12 wa kigeni? [emoji30][emoji30]
Mataifa yapi timu za Tanzania ziliweza kushindana nayo ?Mzawa hawezi kuongeza kiwango chake kwa kutosajiliwa na timu kubwa kwa sababu kuna wageni wengi au kukaa benchi kwa sababu asiye mzawa ana kiwango kuliko yeye. Ná kiwango cha mcheza kinapatikana kwa kushiriki katika mechi nyingi za Kitaifa na Kimataifa kama hawazipati hizo hawawezi kuongeza vipaji vyao vya uchezaji. Wachezaji 12 wa kigeni ni wengi sana. 5 hadi 7 inatisha sana. Mbona miaka ya nyuma kulikuwa hakuna wageni na soka la Tanzania lilikuwa juu tu kwa kuweza kushindana na mataifa mbali katika kiwango cha juu?
Unaweza nambia kilichowafanya Kichuya, faridi musa, salamba na huyu dog wa azam nimemsahau jina washindwe kuperform kule njee ni ajiri ya hii idadi ya foreign hapa bongo au ni uzembe wao? Ukisha lijua hili utagundua wachezaj wa kibongo ni wazembee hawajitumii hivo kwa team kama simba inayotaka mafanikioa haiweI tegemea hawa wachezaji wavivu lazima uwe na strong squad inatoka wapi sasa usipokuwa na nambaa kubwa ya kigeni.Watanzania wangapi wanacheza mpira nje? Unadhani nchi kama China ambazo zimeruhusu idadi ndogo sana ya foreign players ni wapuuzi? China wameruhusu wachezaji watano tu ná Algeria pamoja na kuweka limit ya age wameruhusu wachezaji wawili tu ambao si Waalgeria. Hizi nchi zimeona mbali sana sisi TUNAKURUPUKA bila ya kutafakari athari ya hili kwa Timu ya Taifa.
Sawa ila sijuiKwenye biashara ndani ya nchi wazawa pia ni lazima wanufaike Mkuu si wageni tu au wageni wakawa wengi kuliko wazawa.
Kabla wachezaji wa kigeni hawajaongezwa hao wa ndani walikuwa wanapata hiyo exposure ?
Unaweza nambia kilichowafanya Kichuya, faridi musa, salamba na huyu dog wa azam nimemsahau jina washindwe kuperform kule njee ni ajiri ya hii idadi ya foreign hapa bongo au ni uzembe wao? Ukisha lijua hili utagundua wachezaj wa kibongo ni wazembee hawajitumii hivo kwa team kama simba inayotaka mafanikioa haiweI tegemea hawa wachezaji wavivu lazima uwe na strong squad inatoka wapi sasa usipokuwa na nambaa kubwa ya kigeni.