Wwe huoni wenye uwezo wanapewa nafasi au unataka wapewe nafasi tu bila uwezo ?Hujui klabu bingwa Tanzania inashiriki mashindano gani Afrika? Sasa kama the first 11 players au hata ni 8 hao Wabongo exposure wanaipata wapi?
Wwe huoni wenye uwezo wanapewa nafasi au unataka wapewe nafasi tu bila uwezo ?
Ni ombi la klabu zote sio simba tuKuna tetesi za chini ya kapeni zinazo sema bodi ya wakurugenzi ilipokaa kikao chake wiki kadhaa zilizo pita imeafikiana kumuomba ndugu Walace Karia aongeze idadi ya wachezaji wanaoruhusiwa kucheza Ligi KUU Tanzania.
Pendekezo ni kuongeza nafasi ziwe 12 kutoka 10 za sasa.
Changamoto hiyo imetokea baada ya Simba kupatwa na kizungumkuti katika kuamua ni nani wamuache na nani wamsajili.
1.Onyango 2. Wawa 3. Chama 4. Luis Miq 5. Mgalu 6. Chikwende 7. Bwalya 8. Morrison 9. Inonga 10. MK 14 11. Banda 12. Lwanga
Umeandika utopolo hujui sheria za TFF timu hairuhusiwi kuchezesha zaidi ya wachezaji watatu wa kigeni kwenye gem moja...!!?Hili la wachezaji wa kigeni linazorotesha sana vipaji vya Watanzania kupata exposure ili nao waweze kufikia viwango vya juu. Wachezaji 12 wa kigeni? 😩😩
Mkuu ligi yetu ishakua biashara kubwa soon tunatoka semi tuna enda full proffesional,,The Kenya Premier League (KPL) secretariat has enforced its revised rule that now allows clubs in the competition to only register up to five foreigners.
KPL has always allowed five foreign players to feature for each club in the SportPesa Premier League, but had last season relaxed the rule to allow teams featuring in continental assignments to register up to seven foreigners.
Pamoja na China kuruhusu wachezaji wachache wa kigeni, China wana kipi cha kujivunia kwenye soka ambacho sisi kama watanzania tunaweza kuchukua kama funzo ?Watanzania wangapi wanacheza mpira nje? Unadhani nchi kama China ambazo zimeruhusu idadi ndogo sana ya foreign players ni wapuuzi? China wameruhusu wachezaji watano tu ná Algeria pamoja na kuweka limit ya age wameruhusu wachezaji wawili tu ambao si Waalgeria. Hizi nchi zimeona mbali sana sisi TUNAKURUPUKA bila ya kutafakari athari ya hili kwa Timu ya Taifa.
Mkuu natatizwa sana na mifano yako.Unadhani Algeria, Kenya na China ambao wamewapa foreign players nafasi 2 na tano tu katika clubs zao ni wapuuzi!? Hao wenye uwezo mkubwa wao unadhani kwanini wamewekewa idadi ndogo sana?
😳
Mkuu ligi yetu ishakua biashara kubwa soon tunatoka semi tuna enda full proffesional,,
Hao kenya tumewaacha mile nyingi sana ukilinganisha ligi yetu na yao..
Watu wameweka billions of money and we are expecting much to come..
Ligi yetu kwa sasa ni.moja ligi bora africa..
Its all about money..
Pamoja na China kuruhusu wachezaji wachache wa kigeni, China wana kipi cha kujivunia kwenye soka ambacho sisi kama watanzania tunaweza kuchukua kama funzo ?
England umesema idadi ya wageni ni 17, kwanini sisi 12 iwe ni kubwa mno ?
Kuhusu uchache wa watanzania wanaocheza nje, hilo ni kosa letu wenyewe, Dunia ni huria, tunapaswa kupeleka wengi ili wapate uzoefu na kuisaidia timu ya taifa.
Hata ukisema wageni wasiwepo kabisa kwenye ligi yetu, nakwambia hiyo haitaongeza ubora wa wachezaji wetu na timu ya taifa.
Washukuru wageni kwa kuleta changamoto na ushindani ili angalau hawa wazawa wapandishe viwango vyao.
Mkuu natatizwa sana na mifano yako.
1. Sioni cha kujifunza kwa China kwenye soka.
2. Ligi ya Tanzania ni bora kuliko ligi ya Kenya na Algeria (kwa mujibu wa takwimu za mwaka huu za CAF)
3. Kuna klabu gani ya Algeria au ya Kenya inayofanya maajabu kwenye mashindano ya vilabu barani Afrika na hata hizo nchi ziwe "case study" ya hoja yako ?
4. Kwanini timu zao za taifa (Algeria na Kenya) zimetawaliwa na wachezaji wanaocheza nje ya mataifa hayo kama hiyo sera ya kudhibiti wageni kwenye ligi zao inawasaidia kweli ?
NB: Tuache uvivu, tupeleke vijana nje wakashindane wawe bora. Tulete wageni kwenye ligi yetu washindane na wazawa ili hao wazawa wapate nafasi kwa uwezo (baada ya kushindana na wageni).
This World is competitive in nature mkuu.
Hapo umekuja sasa mkuu tufungue mjadala,,Biashara na wazawa pia wanufaike siyo wageni tu. Mnakuwa na vilabu viwili au vitatu ambavyo first 11 ni karibu wageni watupu au wageni watupu. Timu zilizobaki kwenye ligi ambazo uwezo wake wa kusajili wachezaji wageni ni mdogo sana hivyo ubingwa miaka yote ni timu hizo hizo tatu. Tukija kuchagua timu ya Taifa ni midebwedo mwanzo mwisho. Algeria wana timu nzuri sana ya Taifa ambayo wamewahi kushiriki World Cup.
Kwa huu upuuzi wa kuruhusu foreign players wengi itafika wakati kutakuwa hakuna Mtanzania atayekuwa na kiwango cha kuchezea timu ya Taifa kwani wengi ama wanaishia bench hivyo kutoongeza viwango vyao au hawasajiliwi.
Michezo inatakiwa itiliwe mkazo mkubwa sana mashuleni ambako miaka ya nyuma shule nyingi za ziliweza kutoa wachezaji wenye viwango vikubwa tu.
Tukiendekeza huu upuuzi wa kuongeza idadi ya wageni soka Tanzania itaanguka kabisa. Kama biashara hata China soka ni biashara kubwa sana kuliko hata Tanzania lakini bado wameweka idadi ndogo ya wageni ili kukuza viwango vya wachezaji wazawa.
Hapo umekuja sasa mkuu tufungue mjadala,,
Kwanza uelewe ukishaenda kwanye bussness aspect hakuna kuoneana huruma.
Watu wanaweka pesa zao nyingi wanatarajia kupata faida kubwa as well,,
Sasa kama wewe hujutumi tukubebe t kwa sbbu ni mtanzania hakuna icho kitu mkuu,,..
Ligi yetu sasa ishakua biashara kubwa hakuna muda tena wakumsubiri na kum bembeleza ibrahim ajibu ajitambue,waziri afunge magoli..
Mifumo mizuri ya soka tupate vipaji maridhawa vya kulisaidia taifa hizo ni.kazi za tff za kimkakati.
Ligi ile ni biashara na vilabu vyetu alhamdulillah vkmefunguka vinaingia sasa kwenye biashara ya mpira ambayo haina mipaka.
Ndo maana unaona leo al_ahly wanamtaka miquissone kwa b2,
Hii hela inaingia simba,kama huna bidhaa bora hujawekeza pesa kupata vipaji maridhawa kama hivo unaingizaje pesa kama hiyo.
Cha msingi tujitazame sie tumekosea wapi,,
Kumzuia chama asicheze si kumfanya ajibu awe chama.
Tuende kwenye suala la msingi mkuu kufanya comparison na hao giant kwenye football walowekezaItaly (at first until season 2003/2004) :
- player union want a foreign player limit (including EC)
- clubs don't want a foreign player limit (including EC)
- third division teams have to name 4 Italian players aged under 20 for match day
- fourth division teams have to name 5 Italian players aged under 20 for match day
- Clubs in Serie C and below are not allowed to sign non-EC players
- maximum of five non-EC players allowed, three of them in a league match
- Serie A and B clubs will be allowed to recruit one additional non-EU player before 31 August 2002 deadline. Until further notice from 1 September 2002 no further signings from outside the EU will be accepted.
Jamaa ana suggest kubebanabebana na kuoneana huruma kwa sababu ya Utanzania wetu. Hii haitasaidia.Hapo umekuja sasa mkuu tufungue mjadala,,
Kwanza uelewe mkishahama kutoka armature mnataka kuelekea proffesional na mnauangalia mpira in a bussness aspect hakuna kuoneana huruma.
Watu wanaweka pesa zao nyingi wanatarajia kupata faida kubwa as well,,
Sasa kama wewe hujutumi tukubebe t kwa sbbu ni mtanzania hakuna icho kitu mkuu,,..
Ligi yetu sasa ishakua biashara kubwa hakuna muda tena wakumsubiri na kum bembeleza ibrahim ajibu ajitambue,waziri afunge magoli..
Mifumo mizuri ya soka tupate vipaji maridhawa vya kulisaidia taifa hizo ni.kazi za tff za kimkakati.
Ligi ile ni biashara na vilabu vyetu alhamdulillah vkmefunguka vinaingia sasa kwenye biashara ya mpira ambayo haina mipaka.
Ndo maana unaona leo al_ahly wanamtaka miquissone kwa b2,
Hii hela inaingia simba,kama huna bidhaa bora hujawekeza pesa kupata vipaji maridhawa kama hivo unaingizaje pesa kama hiyo.
Cha msingi tujitazame sie tumekosea wapi,,
Kumzuia chama asicheze si kumfanya ajibu awe chama.