Hivi ni wafaransa wangapi wanaanza pale PSG ?For national competition, Brazilian clubs are allowed to name up to five players born outside Brazil in their roster.
Mawazo mgando hayo. Kuamini kua wachezaji wa kigeni wakiwa wengi basi tunaua vipaji.Mzawa hawezi kuongeza kiwango chake kwa kutosajiliwa na timu kubwa kwa sababu kuna wageni wengi au kukaa benchi kwa sababu asiye mzawa ana kiwango kuliko yeye. Ná kiwango cha mcheza kinapatikana kwa kushiriki katika mechi nyingi za Kitaifa na Kimataifa kama hawazipati hizo hawawezi kuongeza vipaji vyao vya uchezaji. Wachezaji 12 wa kigeni ni wengi sana. 5 hadi 7 inatisha sana. Mbona miaka ya nyuma kulikuwa hakuna wageni na soka la Tanzania lilikuwa juu tu kwa kuweza kushindana na mataifa mbali katika kiwango cha juu?
Soka la vilabu vya tz liameanza kukuwa baada ya ongezeko la usajili wa wachezaji wa nje. Tukisema tukomae na hawa hawa wachezaji wetu uchwara wasio jituma, tutaendelea kushika mkia kwenye ngazi ya vilabu vya soka barani Africa na duniani kote kwa ujumla.Hili la wachezaji wa kigeni linazorotesha sana vipaji vya Watanzania kupata exposure ili nao waweze kufikia viwango vya juu. Wachezaji 12 wa kigeni? [emoji30][emoji30]
Akikujibu unitag maana naona jamaa hawazi mbali.Unaweza nambia kilichowafanya Kichuya, faridi musa, salamba na huyu dog wa azam nimemsahau jina washindwe kuperform kule njee ni ajiri ya hii idadi ya foreign hapa bongo au ni uzembe wao? Ukisha lijua hili utagundua wachezaj wa kibongo ni wazembee hawajitumii hivo kwa team kama simba inayotaka mafanikioa haiweI tegemea hawa wachezaji wavivu lazima uwe na strong squad inatoka wapi sasa usipokuwa na nambaa kubwa ya kigeni.
Jamaa anataka turudi miaka ya 2015Mkuu ligi yetu ishakua biashara kubwa soon tunatoka semi tuna enda full proffesional,,
Hao kenya tumewaacha mile nyingi sana ukilinganisha ligi yetu na yao..
Watu wameweka billions of money and we are expecting much to come..
Ligi yetu kwa sasa ni.moja ligi bora africa..
Its all about money..
Namsubiri mkuu
England ya Sasa c yazaman, angalia performance yake ndan ya miaka Minne, 3rd world cup, 2nd in EuroTatizo ni kubwa timu ya Taifa inakuwa mdebwedo na Uingereza tayari hilo la foreign players linaathiri sana kupata wachezaji wa Timu ya Taifa wenye viwango vikubwa.
Mawazo mgando hayo. Kuamini kua wachezaji wa kigeni wakiwa wengi basi tunaua vipaji.
Sio 2015..bali enzi za FAT...
Leo gazeti la MwananchiHapo umekuja sasa mkuu tufungue mjadala,,
Kwanza uelewe mkishahama kutoka armature mnataka kuelekea proffesional na mnauangalia mpira in a bussness aspect hakuna kuoneana huruma.
Watu wanaweka pesa zao nyingi wanatarajia kupata faida kubwa as well,,
Sasa kama wewe hujutumi tukubebe t kwa sbbu ni mtanzania hakuna icho kitu mkuu,,..
Ligi yetu sasa ishakua biashara kubwa hakuna muda tena wakumsubiri na kum bembeleza ibrahim ajibu ajitambue,waziri afunge magoli..
Mifumo mizuri ya soka tupate vipaji maridhawa vya kulisaidia taifa hizo ni.kazi za tff za kimkakati.
Ligi ile ni biashara na vilabu vyetu alhamdulillah vkmefunguka vinaingia sasa kwenye biashara ya mpira ambayo haina mipaka.
Ndo maana unaona leo al_ahly wanamtaka miquissone kwa b2,
Hii hela inaingia simba,kama huna bidhaa bora hujawekeza pesa kupata vipaji maridhawa kama hivo unaingizaje pesa kama hiyo.
Cha msingi tujitazame sie tumekosea wapi,,
Kumzuia chama asicheze si kumfanya ajibu awe chama.