Etii..?Kumbuka ni haramu-najisi (najisi kwa kiingereza it is harmful) ina minyoo isiyokufa hata ikipikwa na ni kisababishi cha magonjwa kadhaa. Jiepushe nayo. Kula kiti moto Ni sawa na kuweka diesel kwenye gari la petrol
Wala hutopata usumbufu wa majiniTena ukila hiyo makitu huwezi pata UKIMWI wallah. Tuleni kwa wingi wajameni tuutokomeze ukimwi
AmeenAlichokiumba Mungu usikiite najisi...!
Unaisi utoka ndani (moyoni) mwa mtu huko utoka uasherati, uzinzi, masengenyo, uuaji, na dhuluma, ila kiingiacho mdomoni hutoka na kutupwa chooni..!
Ila kitokacho moyoni ni kibaya zaidi ya kiingiacho mdomoni.
Hmm!
Kilo moja elfu40??
Mbona bei sana! KamandaNdio dingii
Duuh! Aisee nikija huko kuanzia asubuhi, chai yangu itakua kitimotoMbeya mitaa ya kwa Mama John kwa uncle matata pale ndo unapata saiz yako.ukitaka hata ya sh 100 anakupimia
Tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo kinapika kitimoto chenye Quality yaani ukigusa utatamani kesho uje tena?
Kama mnavyojua Utamu wa kitimoto upate na ugari au Ndizi za kukaanga,nimeshapanga ratiba yangu leo lazima nikale kitimoto.
View attachment 942375
View attachment 942377
Nb:
Mashekhe na Maustadhi tafadharini sana msije kuutia shombo uzi huu,
Huu ni kwa sisi wala kitimoto tu ukiona haukufai kafanye mengine siyo kuja hapa.
Cc Zero IQ
hapa lzm patakuwa Mamaz tuAisee..kitimoto tamu inapatikana huku ADA ESTATE karibu na ubalozi wa saud arabia pale ni shida ndugu zangu[emoji4]
Nimefika karagwe huku kata ya kanoni..kitimoto elfu tatu kilo moja.. Nikakaa chini kwanza machozi ya furaha yakintiririka.
Kitimoto yapaswa kubeshimiwa.
[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Msabato vp relax nenda kakariri lessonKumbuka ni haramu-najisi (najisi kwa kiingereza it is harmful) ina minyoo isiyokufa hata ikipikwa na ni kisababishi cha magonjwa kadhaa. Jiepushe nayo. Kula kiti moto Ni sawa na kuweka diesel kwenye gari la petrol
ewaaaaa...this is wat i meanKilimanjaro (Boma) - Barabara ya kwenda Lawate, upande wa kushoto kuna Bar ndogo ndogo ina hii huduma.
Kilimanjaro (Mtaa wa Karanga opposite Magereza) - Kuna fundi mmoja yuko mwisho kabisa wa zile frame za biashara. Ana balaa huyu jamaa. Anatoa kitu safiii sana.
Mbeya (mjini) - Penge restaurant maeneo ya Mzumbe Uni.
Mbeya (mjini) - Barabara ya kwenda hotel za Mfikemo kuna vibanda vingiii.
Mbeya (mjini) - Chini ya Chaula Pub karibu kabisa na chuo cha mzumbe.
Arusha - Kimandolu eneo la Njia ya Ng'ombe pale kuna mtaalam kajiwekea kibanda safii.
Arusha - Mianzini mkabala na CRDb office kuna vibanda vingii.
Arusha - Mwanzo wa Barabara ya kanisa la Father babu ukitokea ALMC hospital.. karibu na mafundi wa furniture wameweka vitanda nje na makabati. Kuna Bar siijui jina. Wako vizuri sana.
Arusha - Karibu na mahakama ya Wilaya kuna bar inaitwa Apache. Huduma safi na salama.View attachment 1413668
Sent using Jamii Forums mobile app