[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitimoto ya kuchoma ina balaa.....[emoji91]
Halafu inachonifurahisha hii kitu, baada ya kuila kifuatacho ni maji tu inaleta kiu.
Nashauri watu tusiopenda kunywa maji tule kitimoto sana. More [emoji200] more water
Hivi eve anazungumzia maji gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maji yapi? haya haya ya kilimanjaro[emoji16][emoji16][emoji16]Kitimoto ya kuchoma ina balaa.....[emoji91]
Halafu inachonifurahisha hii kitu, baada ya kuila kifuatacho ni maji tu inaleta kiu.
Nashauri watu tusiopenda kunywa maji tule kitimoto sana. More [emoji200] more water
Maji haya haya Kilimanjaro/uhai/afya/ kandoro....Hivi eve anazungumzia maji gani?
Maji haya haya au ni neno lingine la Heineken bia?
Bia hunywi?[emoji849][emoji849]Maji haya haya Kilimanjaro/uhai/afya/ kandoro....
Kitimoto inaleta kiu sana, yani mi nikila nageuka rejeta.
Mimi huyu nisinywe bia? Yaniiiii nisilipe kodi!? Mi mlipa kodi 😁Bia hunywi?[emoji849][emoji849]
Yaan nile kitimoto na maji haahaahaa
Nilitaka kushangaa ujanja wote huo usinyweMimi huyu nisinywe bia? Yaniiiii nisilipe kodi!? Mi mlipa kodi [emoji16]
Baada ya kuila siku nzima nahisi kiu nakunywa maji muda wote
😋😋😋😋😋😋Nilitaka kushangaa ujanja wote huo usinywe
Niko Rudy's farm now karibu[emoji39][emoji39]View attachment 1830910
Nashukuru Mkuu nimeshaenda kama mara mbili, kitimoto yao ya kuchoma wako vizuri sana,ila kwenye rost sijawaelewa kwa kweli!Zipo nyuma ya sheli mpya hapo msamvu. Sheli inayofuata baada ya hiyo ambayo daladala za mikese zinasimama ukiwa unarazama uelekeo wa nanenane. Kwa daladala hicho kituo kinaitwa maraha. Fuata hiyo barabara ya vumbi
Hahahaha karibu uonje chakula pendwa Kwa wachinaPamoja na uislam wangu wote ,sijui kwanini huu Uzi Naupenda Sana, naufuatilia mnoo...
Duuh nilikuwepo jana hapo[emoji39][emoji39]Tabata Segerea pale kituo cha Sheli unaingia shoto kama unaenda chocho la kuibukia S'taki Shari kuna jamaa aitwa Temba pale katikati....ana kitimoto ya makange sio ya dunia hii!
Hapo tayari utakuwa na minyoo!Jana nimekula pale sabasaba aisee Jamaa hajui kabisaa kupikaaa...tumbo limeniuma sanaa! Jamaa falaa sana namuhamaaa kabisa
Kitimoto choma yao inanirudisha rudisha sana pale. Iko vizuri sana.Nashukuru Mkuu nimeshaenda kama mara mbili, kitimoto yao ya kuchoma wako vizuri sana,ila kwenye rost sijawaelewa kwa kweli!
Daah acha tu mkuu,Mi mwenyewe nimeshakua mteja wa kudumuKitimoto choma yao inanirudisha rudisha sana pale. Iko vizuri sana.