Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Ukiacha tabata relini kwa maeneo ya kuanzia njia panda ya pungu kuja chanika hadi mbande au ukiingia flame kumi, na mbondole kote huko katika maeneo hayo ni wapi wana machonjio ya kitimoto. Nahitaji sana .
 
Jaribu japo siku moja kura kasaView attachment 2270777
D
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…