Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WAKAZI WA DODOMA JMN ANAE JUA SEHEMU INAYO PIKA KITIMOTO NZURI! ANISANUE
WAKAZI WA DODOMA JMN ANAE JUA SEHEMU INAYO PIKA KITIMOTO NZURI! ANISANUE
Nenda sehemu inaitwa KUSILA ni karibu na barabara ya bambalaga
Utaleta mrejesho hapa
Nilikua napita dodoma kuna sehemu
Barabarani kabisa ila very local
Kitimoto ni tamuuu balaa
Nitairudia soon
Nenda sehemu inaitwa KUSILA ni karibu na barabara ya bambalaga
Utaleta mrejesho hapa
Tajiriii Daah Awa Jamaa Kusila Ni Balaaa ! Sehemu Pia Ipo Classic Sanaa!
Nimekaa Apa apa Nimeamua Nipate na Moja ya Baridi Moja Ya Moto !! Shukran sana Mwaikibaki
Kwa Mama Kamche - Opposite na Kwa KakobeFamily bar tegeta kibaoni,Choma na rost wako vizuri
Lacomida -kimara temboniKwa Mama Kamche - Opposite na Kwa Kakobe
Huku kwetu kuna bar imefunguliwa nilienda kununua kitimoto Aiseee! Kaanza kwanza kukichemsha ndo kakaanga kimetoka cheusii hakina radha nilijutia hela yangu.
Jaribu japo siku moja kura kasaView attachment 2270777
DIle mijamaa inajua kweli!!!! tena wana lima na michicha ya leo leo kule nyuma ya mabanda yao ya kuka angia kiti moto bana wee!! safi sana! ukishiba sana kuna sehemu safii! unalipia unalala kwa siku unazo taka!!
ila bei yao ndo Matata afadhali ingekuwa poa kidogo! japo parking ni bure! lkn huwezi charge mtu asiye na gari sawa na mwenye gari!.......wakazi wengi wa Mbagala hushukiga hapo!! sijui kwa nini?