Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Nenda sehemu inaitwa KUSILA ni karibu na barabara ya bambalaga

Utaleta mrejesho hapa

Adjustments.jpg
 
Jaribu japo siku moja kura kasaView attachment 2270777
Ile mijamaa inajua kweli!!!! tena wana lima na michicha ya leo leo kule nyuma ya mabanda yao ya kuka angia kiti moto bana wee!! safi sana! ukishiba sana kuna sehemu safii! unalipia unalala kwa siku unazo taka!!

ila bei yao ndo Matata afadhali ingekuwa poa kidogo! japo parking ni bure! lkn huwezi charge mtu asiye na gari sawa na mwenye gari!.......wakazi wengi wa Mbagala hushukiga hapo!! sijui kwa nini?
D
 
Back
Top Bottom