Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Best mbona hujaikausha?.... Utachezea minyoo tumboni ipande hadi kifuani uitapike mbele za watu ohooo!
Hamna nimeiweka kwenye microwave for 15min imepigwa mionzi yakutosha nikakaanga nikaiweka tena kwenye microwave for 5 min huyo mnyoo akibaki atakuwa ametumwa
 
Astaghafillullah..!
Huyo kiumbe ni kharamu lakini utamu wake ni zaidi ya "mchepuko wa mkulu"
 
Siku nimerudi bongo tukaenda na demu kwa mama kamchi .. Wakaniuluza unakula na ugali... Nilishangaa sana nani mlafi huyo anakula kilo na ugali. Ila nikajagundua kitimoto + ugali ni homa ya jiju
 
Siku nimerudi bongo tukaenda na demu kwa mama kamchi .. Wakaniuluza unakula na ugali... Nilishangaa sana nani mlafi huyo anakula kilo na ugali. Ila nikajagundua kitimoto + ugali ni homa ya jiju
Duuh...ila nahisi kitimoto choma ni tamu na ndizi na ugali mmmh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…