Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Mdudu anaonewa na walimwengu, wakati mdudu anapenda walimwenguOhoooooo
Ova
Wivu ni kitu kibaya sana.Mapema leo asubuhi Dkt. Yusuf Jamnagerwalla wakati akiogiwa na kituo cha clouds 360, alunukuliwa akiyasema haya.
Ulaji wa nyama ya kitimoto husababisha ugonjwa wa kifafa, ameenda mbali zaidi na kudai kuwa ulaji wa nyama ya kitimoto unasababisha ugonjwa wa kifafa isipopikwa vizuri. Kazi kwenu walaji wa kitimotoView attachment 2120482
Pote la mbali bwasheeKwani ntaishi milele...
Nyama taam kama ile acha tuu niitafuneee,
Ukishiba una shushia na bia mbili tatu huku stiki ya kuchokonolea meno iko mdomoni.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Si ndo hapo nashangaaMwongo huyo, mbona hatuwaoni.
Mi nimekula hadi supu ya kongolo la nguruwe na sijapata hadi leo.
Mi nadhani wivu tuu.Huyo dokta mwenyewe shehe ulitegemea aseme Nini sasa