Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
mshana bwanaa... hiyo ni picha ya mdudu na mkungu wa ndizi. nadhani huyo jamaa ndo anaenda kutengeneza balaa moja la kusababisha kifafa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
mshana bwanaa... hiyo ni picha ya mdudu na mkungu wa ndizi. nadhani huyo jamaa ndo anaenda kutengeneza balaa moja la kusababisha kifafa
Je ukishushia hiyo kitimoto na konyagi unaweza kupata kifafa? Maana komyagi ni kama spirit inauwa vijidudu vyoooteMapema leo asubuhi Dkt. Yusuf Jamnagerwalla wakati akiogiwa na kituo cha clouds 360, alunukuliwa akiyasema haya.
Ulaji wa nyama ya kitimoto husababisha ugonjwa wa kifafa, ameenda mbali zaidi na kudai kuwa ulaji wa nyama ya kitimoto unasababisha ugonjwa wa kifafa isipopikwa vizuri. Kazi kwenu walaji wa kitimotoView attachment 2120482
Hivi mtu kama kifafa hataumwa yeye... na mwenye kifafa akipelekwa hospitalini kwake atapiga hela, SHIDA NI NINI KWAKE? Hiyo huruma ya hivi ameianza lini?Wamekula babu na bibi zetu na walizikwa wakiwa na 80+, 90+ wazima kabisa.
Atuache na kifafa chetu yeye abaki na visonono vyakeKwani tukipata kifafa Mkuu wewe inakuathiri vipi
Nilijuwa tu Kuna mja ataileta hii mada Huku.Akwende huko.
Mbna hawaongelei ulaji wa vyakula vya kusindiia viwandani na madawa ya hovyo hovyo.
Kwakuwa imani fulani imeharamisha bas wanataftia udhaifu kitimoto kionekane kibaya.
Achen kunywa masoda, mabia na hayo majuis uchwara ya viwandani.
Kitimoto idumu milele
Mjinga huyo mbohora.Mapema leo asubuhi Dkt. Yusuf Jamnagerwalla wakati akiogiwa na kituo cha clouds 360, alunukuliwa akiyasema haya.
Ulaji wa nyama ya kitimoto husababisha ugonjwa wa kifafa, ameenda mbali zaidi na kudai kuwa ulaji wa nyama ya kitimoto unasababisha ugonjwa wa kifafa isipopikwa vizuri. Kazi kwenu walaji wa kitimotoView attachment 2120482
Mbona wazungu hawaugui acha hizo usichanganye imani yako na hiyo kofia hapo na taaluma uliyosomea.Ingekuwa hivyo wachanga na wanyakyusa wangeugua sanaMapema leo asubuhi Dkt. Yusuf Jamnagerwalla wakati akiogiwa na kituo cha clouds 360, alunukuliwa akiyasema haya.
Ulaji wa nyama ya kitimoto husababisha ugonjwa wa kifafa, ameenda mbali zaidi na kudai kuwa ulaji wa nyama ya kitimoto unasababisha ugonjwa wa kifafa isipopikwa vizuri. Kazi kwenu walaji wa kitimotoView attachment 2120482
Nisamehe Dr nilikurupuka kusoma kumbe hujatukataza bali umesema tupike iivee ahsante sanaMbona wazungu hawaugui acha hizo usichanganye imani yako na hiyo kofia hapo na taaluma uliyosomea.Ingekuwa hivyo wachanga na wanyakyusa wangeugua sana
Babuu leo nimekula kilo pekeanguu kuanzia sa saba mpaka sa 10.Pote la mbali bwashee
Angezungumzia na GAUTI ya kwenye mbuzi siyo ya kikatolikiKumbe shida ni isipopikwa vizuri. Kila chakula kisipo pikwa kikaiva vizuri kina madhara
Alafu nimekuja kushtukia jamaa wanakula kisiri siri aseeBabuu leo nimekula kilo pekeanguu kuanzia sa saba mpaka sa 10.
Pole poleee huku nakazia na Vant mixa na ndizi rost
Alafu anatoke kishtobe mmoja na kofia kama kifuu cha nazi anakuja na ukunguni wake na mkee kichaa anasema inaleta kifafa kama vile alikula ye na makinda wake kwake alafu wakapata kifafa kengere kwelii