Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa pikeni vizuri ili mle na msiugue kifafa, tatizo liko wapi?Mapema leo asubuhi Dkt. Yusuf Jamnagerwalla wakati akiogiwa na kituo cha clouds 360, alunukuliwa akiyasema haya.
Ulaji wa nyama ya kitimoto husababisha ugonjwa wa kifafa, ameenda mbali zaidi na kudai kuwa ulaji wa nyama ya kitimoto unasababisha ugonjwa wa kifafa isipopikwa vizuri. Kazi kwenu walaji wa kitimotoView attachment 2120482
Kasema ipikwe vizuri tuu, hakuna shida acha iliwe tuu.Ila ujue ni muumini wa kiislamu, tuangalie utafiti wa kina wa kisayansi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha mihemko, wapi kasema ni haramu? Kasema ipikwe vizuri ili watu wale wasipate kifafa. Hajazungumza kuhusu dini.Akwende huko.
Mbna hawaongelei ulaji wa vyakula vya kusindiia viwandani na madawa ya hovyo hovyo.
Kwakuwa imani fulani imeharamisha bas wanataftia udhaifu kitimoto kionekane kibaya.
Achen kunywa masoda, mabia na hayo majuis uchwara ya viwandani.
Kitimoto idumu milele
uzi ungesomeka vizuri na picha ya kitimoto. kaweka picha ya shekh eti!
Sijaona kosa la Dr hapo, kasema nguruwe apikwe vizuri ndo iliwe. Hajasema yeye hali Wala hajagusa imani yoyote. Kasema ipikwe VIZURI.mtu mwenyewe mwarabu, pumbavu kabisa!!! sisi tutakula yeye asubiri figo na moyo wa mkuu wa jiko!!
Humu ndani kuna Mgalantia kwani????Sijaona kosa la Dr hapo, kasema nguruwe apikwe vizuri ndo iliwe. Hajasema yeye hali Wala hajagusa imani yoyote. Kasema ipikwe VIZURI.
Kosa hapo liko wapi enyi wagalatia wapumbavu?
Acheni kuchanganya imani na taaluma, ni chakula gani kisipopikwa vizuri hakina madhara?Mapema leo asubuhi Dkt. Yusuf Jamnagerwalla wakati akiogiwa na kituo cha clouds 360, alunukuliwa akiyasema haya.
Ulaji wa nyama ya kitimoto husababisha ugonjwa wa kifafa, ameenda mbali zaidi na kudai kuwa ulaji wa nyama ya kitimoto unasababisha ugonjwa wa kifafa isipopikwa vizuri. Kazi kwenu walaji wa kitimotoView attachment 2120482
Walizikwa wakiwa wazima kabisa??Wamekula babu na bibi zetu na walizikwa wakiwa na 80+, 90+ wazima kabisa.
ASITUTISHE☹☹Mapema leo asubuhi Dkt. Yusuf Jamnagerwalla wakati akiogiwa na kituo cha clouds 360, alunukuliwa akiyasema haya.
Ulaji wa nyama ya kitimoto husababisha ugonjwa wa kifafa, ameenda mbali zaidi na kudai kuwa ulaji wa nyama ya kitimoto unasababisha ugonjwa wa kifafa isipopikwa vizuri. Kazi kwenu walaji wa kitimotoView attachment 2120482
😂😂😂
Saudia ipo.Hivi wake wanye kifafa kule Saudia walikula kiti moto?
Angekwenda RADIO ONE kidogo ningemsikiliza. Clouds?ASITUTISHE☹☹