Walaji wa nyama ya kitimoto hatarini kuugua kifafa

mtu mwenyewe mwarabu, pumbavu kabisa!!! sisi tutakula yeye asubiri figo na moyo wa mkuu wa jiko!!
 
Sasa pikeni vizuri ili mle na msiugue kifafa, tatizo liko wapi?
 
Acha mihemko, wapi kasema ni haramu? Kasema ipikwe vizuri ili watu wale wasipate kifafa. Hajazungumza kuhusu dini.
 
Dokta wa michongo huyo cheki hata ndevu zake...kimsingi hata nyama ya kondoo..ngombe zote zina minyoo mibaya inayoweza sababisha hayo magonjwa ya kifafa..mbona kuishambulia kitimoto..

#MaendeleoHayanaChama
 
Mhudum : kaka karibu
Mimi : Asante
Mhudumu : nikuhudumie mini ?
Mimi : hot chair ipikwe vizuri Dr kasema
Mhudumu : Aya kuwe mvumilibu


Hot chair ilaletwa plus vibiabia hv yaani we acha tu
 
mtu mwenyewe mwarabu, pumbavu kabisa!!! sisi tutakula yeye asubiri figo na moyo wa mkuu wa jiko!!
Sijaona kosa la Dr hapo, kasema nguruwe apikwe vizuri ndo iliwe. Hajasema yeye hali Wala hajagusa imani yoyote. Kasema ipikwe VIZURI.
Kosa hapo liko wapi enyi wagalatia wapumbavu?
 
Hii nyama hata mseme tukila tutakufa hatuachi abadani asilani.
 
Acheni kuchanganya imani na taaluma, ni chakula gani kisipopikwa vizuri hakina madhara?
 
Mmerudi tena??? Unafahamu kuwa nchi inayoongoza duniani kwa raia wake kula kitimoto ni China?? unafahamu kuwa China ina takribani watu 1.402 Billion? kati ya hao ni takribani watu 10 milioni ndio wanaugua kifafa.

Disclaimer: Nimetoka kupiga kitimoto rosti na Ugali.
 
ASITUTISHE☹☹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…