dada usiwe mkali hivo, tushirikiane kuitoa jamii katika kuamini ndoa na uzao kuliko hata uhai na ustawi wao wenyewe katika mambo ya msingi. mf ukienda makanisan na kwa waganga wateja wengi ni kuhangaikia ndoa na kupata uzao. hadi wanaishia kufanywa vya kufanywa ikiwemo kufilisika na kudhalilishwa. pia angalia visa vya unyanyasaji kisa ndoa hadi mtu anatolewa uhai kwa jambo hata si lazma ukilinganisha na thaman ya uhai wake. angalia misongo na kejeli kisa ndoa au mtoto. cha ajab anayetaka mtoto hivyo ukimpa mtoto toka ustawi hamtaki! hali ilivyo ni kama steam engine imeshashika kasi, hakuna cha brek. sasa kama kuna hoja ya kimkakat hata wanawake watoe mahari, kwanin hata tusiende mbali zaid kuwa si lazma ndoa! kitu cha lazima ni kupumua! yan unakuta mtu amehangaika kupata kitu kigumu ..PESA alaf anaipoteza kupata kitu cha kawaida km ndoa au mtoto kisa tu jamii imejiaminisha ni vitu si vya kukosa km u mwanadam!Mtakuwa mnajinyea na hakuna wa kuwaosha mnathamani marafiki watakuwa wanawapita tu kama hawawaonj
Dhambi gani tena jamaniJiuwe TU saiv....zambi Zako zinanifanya mahindi yangu hayaoti huko Kikuyu
Baada ya kifu unakuwaje tena kivipi braza...sii ulishamufa ama wee unaongelea kufa tofauti na mimi.tatzo si kufa. tatzo ni kutojua baada ya kufa unakuweje! kujiua hakujawai kuwa rahis kama ulivochapa. wahehe nawaogopa sana mimi.
hebu tupeane mikakat kuhusu sera, sheria,na mipango. mf napendekeza makampun makin yaanzishe BIMA ya kutunza wazee kwa hadhi zao.
Usipo oa, usipo zaa, huo urijali wako utauonesha wapi?
Usiwe haudindi alafu ukasingizia mambo mengine ili usioe.
Nasema hivi kama mwanamme rijali kabisa (bunduki imejaa risisi) lazima uoe, hayo ya kuzaa mungu ndio anae jua.
Nikiwa kama kidume, nimeoa na nina watoto wawili (wakiume tupu) na shemeji yenu ana mimba ya miezi mitatu.
Baada ya kifu unakuwaje tena kivipi braza...sii ulishamufa ama wee unaongelea kufa tofauti na mimi.
Sijui wewe ila mie nafsi yangu inanisuta kabisa kuwa wewe mzabzab ukifa ni wakichomwa motoni tuu.
Ah wacha nile raha za shetani bwana wee....papuchi tamu asikwambie mtuKama inakusuta then tubu, mbaya ni kujua wewe ni wa motoni na uko comfortable..lol
Kwaiyo Wewe HUNA dhambi?Dhambi gani tena jamani
Basi anzisha jumba lako..la wazee..Kama ukizeeka maana waweza kufa hata leo..HUMU KUMBE MNAJUANA! halloo hilo la majumba ya wazee kwa huku ni kama majumba ya wazee matahira. lakin ulaya sera zao ni mahali salama kumalizia mda wako dunian
Kuoa sio lazima mbona tunafyatua risasi na bado hatujao braza....unajua wengine unafiki wakusema kiwa nimeoa alafu uishia kichepuka hatutaki maana tunajijua kiwa papuchi mona haitutoshi
kufa bila kuishi ni hali ya kuwa na majukum yasiyoisha kias kwamba kila ukimaliza hili upumzike kula matunda ya kazi ya mikono yako(UISHI), unajikuta una jukum linakusubiri la muhim. ni kama kufikisha miaka 70 bado unasomesha. kuna age uanze kula ulichopanda. usiwe na jukum lisiloepukika km ujenzi wa makaz, kusomesha, biashara ya kusafiri, kuoa/kuolewa. utaishi mda mrefu zaid.
Sasa aoe yupi? Wote ambao umri umeenda na hawajaoleea ni reject. Manake hakuna mtu alitaka kuwaoa na ndio maana wako single. Sasa aoe reject?. Hapana. Apambane na hako ka umri mdogo tu na kukakunja vizuri sababu SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI.wewe sasa kama una mpamgo wa kuoa na uanelekea 40 shika kalam na karatasi, piga hesab za mtoto wa kwanza hadi anamaliza chuo utakuwa age gani, na last born utakuwaje. utajikuta kuna hatar ukafa hujawai kuishi. unahangaika na familia tu! ila kama utashupaza shingo bas niongeze tu USIOE BINTI AU DADA MDOGO KUIFURAHISHA NAFS KUWA UMERUDI UJANANI. utaishi kwa tabu ya hofu ya kuibiwa na hofu ya underperformance kias kwamba katakupelekesha ka mke dogo dogo utakufa mapema mno. oa mkubwa mwenzio. kama ameachika ni added advantage.