Wale ambao hatutaoa kamwe tujadili namna ya kuhudumiwa uzeeni

Oyeeee
 
Kuoa sio lazima mbona tunafyatua risasi na bado hatujao braza....unajua wengine unafiki wakusema kiwa nimeoa alafu uishia kichepuka hatutaki maana tunajijua kiwa papuchi mona haitutoshi
[emoji3][emoji3][emoji119]
 
Ndoa ni sakreamenti takatifu..na kabla hujaingia ndoani sugua goti Mungu akupe yule aliye sahihi na mwenye hofu yake.

Embu oeni huko mfyuuu.
Kaa mbali na hili genge LA watumiaji
 
Mkuu kama una watoto naye,, unaezaje kuwatelekeza watoto na mama yao,hii kitu mi ndo inanifanya nateseka mpaka kesho,natamani nipate muafaka nijiunge kwenye chama cha mabachela,hebu tupe nondo uliwezaje kumbwaga mama watoto,
 
Na ukikuta mkeo kaliwa utakua na ujasiri wa kusema lazma uoe Tena,mda mwingne ni kulea watoto na kuish maisha ya kuhuni,
 
Kwanini mnakimbilia uzeeni tujadili kwanza ujanani tutakavyoendelea kuishi maisha matamu🍾🍾

Stress ndo huwa zinazeesha
 
Na ukikuta mkeo kaliwa utakua na ujasiri wa kusema lazma uoe Tena,mda mwingne ni kulea watoto na kuish maisha ya kuhuni,

Ndoa ni Kama kamari je ukiliwa utaona poa?
Fid Q
 
Ndoa ni Kama kamari je ukiliwa utaona poa?
Fid Q
Acha matuc bhana,cjauliza kwa ubaya wengne tuna experience,na tuna watoto nawaza tu kwa herfi kubwa kua ukikuta mkeo ana mahusiano mengne mengi ,bado utakomaa na ndoa au utajiunga bachela gang
 
Acha matuc bhana,cjauliza kwa ubaya wengne tuna experience,na tuna watoto nawaza tu kwa herfi kubwa kua ukikuta mkeo ana mahusiano mengne mengi ,bado utakomaa na ndoa au utajiunga bachela gang

Nahilo ndo ambalo mi pia nmeuliza kwa kutumia mstari wa fid q sio kwa ubaya mkuu
 
Hivi mada ni tafakarishi sana ukisoma between the lines ..tatizo watu mada nzito wanaijibu kimhemko tu ilimradi wame comment..
Anyway kwenye maisha ni kupanga na kuchagua ..kwa maana sio kila jambo ambalo kwako ni kipaumbele na kwa mwingine ni hivyo hivyo.
 
Huwa nataman sana kuishi bila Mtoto ila niwe na mke(Natafuta mke ambae hazai au hana mpango wa kuzaa) ,sijaona faida za kuwa na watoto mpaka sasa,ingawaje nimejkuta Kuna kibinti kmoja kimeniingiza mkenge kimeshika ujauzito,

Nilishawahi kutafakari hilo la kuzeeka au ukiugua nani atanihudumia kwa moyo wote kama ambavyo mke au watoto wangefanya,lakin watoto wa siku hz hawana msaada sana kwa wazazi wao,akishapata familia yake,wazazi ana wasahau.
 
HAPa ni africa. Sio ulaya.

Ukishapiga miaka 100 na una mpunga majumba na bima.
Watu kama meko watakuulia mbali na mali watazichukua.

Tafuta mtoto uzae hata na kina gigi.
Ni ushauri tu, lifestyle ya africa lazima uwe na damu yako atleast mtoto wa kike mmoja na wa kiume mmoja watakuokoa.
Ila watu baki watakuulia mbali na pesa zako
 
Hupendi watoto? Huna akili
 
Faida zipo ingawa wazazi wako hawakubahatika kupata faida bali hasara
Ni kwel, kwangu Mimi sjatoa faida yoyote kwa wazazi wangu,zaidi ya kuwa mzigo,labda wao wanaijua faida yangu kwao,ulivyo pimbi umekosa faida za watoto,unasema tu zipo lakini kuzitaja umeshindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…