Wale ambao hatutaoa kamwe tujadili namna ya kuhudumiwa uzeeni

Ni kwel, kwangu Mimi sjatoa faida yoyote kwa wazazi wangu,zaidi ya kuwa mzigo,labda wao wanaijua faida yangu kwao,ulivyo pimbi umekosa faida za watoto,unasema tu zipo lakini kuzitaja umeshindwa
Pimbi mwenyewe. Eboh!
 
Kuna jamaa yangu alisema kabisa, "" KAMA nitamuacha mke huyu basi sitokuja kuoa tena kwa huu umri wa katikati nalea wa angu tu, ila atakapofika umri wa uzeee ndipo ataoa mke kwa ajiri ya kushika a mikono kwenda chooni kipindi hicho si mume wala mke chini kumekufa""".

Hii niliipendaga sana
 
kuna movie moja inaitwa THE UPSIDE.. ameigiza kevin Hart!.. majibu yako yote yako mle mkuu.
 
nna uhakika kuna majibu ya mtoa mada, au unalizungumziaje hilo!?.
Kwa mujibu wa muvi jinsi mzee alivyokua hadi akabidi amuajiri Kevini basi mtoto na mke ni Muhimu. Familia ndio kila kitu ndio msaada wako wa karibu pindi uwapo na uhitaji
 
Kwa mujibu wa muvi jinsi mzee alivyokua hadi akabidi amuajiri Kevini basi mtoto na mke ni Muhimu. Familia ndio kila kitu ndio msaada wako wa karibu pindi uwapo na uhitaji
lakini si ndio solution kama hukuoa!?.. maana naweza nisioe ila nikawa na watoto na wakanijali uzeeni kwangu.. nadhani mada imeuliza swala la kutokuoa na si kupata mtoto.
 
So unaoa ili upate muuguzi wa kukuuguza uzeeni?! Nina maswali kwako mkuu.

So wewe kwasasa una amini mwanamke ni muuguzi wa mwanaume uzeeni?!

Unaamini mwanaume hatima ya maisha yake ni kuumwa na kuuguzwa na mwanamke?!

Ni vipi kama huyo utakaemuoa akifariki kabla yako na wewe ukaendelea kuishi miaka 40 zaidi huko mbele bila yeye?!

Haujawahi kuona mzee mwanaume wa miaka 80 anaeishi na mkewe akiwa na afya imara sana tu?!

Je, mkeo akiumwa akapata terminal illness itayomuacha kuwa mgonjwa wa kuhudumiwa kama kichanga utachukuliaje maisha ya ndoa?! Utamtelekeza?!

Je, watoto wako hawawezi kukuhudumia?!

Je, hauna ndugu, jamaa na marafiki?!

Je, hauwezi kuongeza jitihada zako katika kujitunza kwasasa ili ufike umri huo ukiwa imara na afya tele.....?!


Una mengi ya kujifunza kijana...... Maisha hayapangwi na mwanadamu ni wewe na MUNGU wako. ...sasa kama ushaanza kujiona mgonjwa katika ujana sijui kama utazeeka salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan huyo mtoto lazima asome kama mimi, si tasoma shule kwa kurushwa madarasa na baada ya hapo anakula course fupi ya mwaka m'moja anaingiza mzigoni...... Acha kuclamisha maisha weww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…