Wale ambao kwenu mpo zaidi ya watoto 6 baba na mama moja, maisha ya ukubwani yapo vipi kindugu ?

Watoto wa familia moja wa Baba mmoja na mama mmoja huwa Wana umoja Sana na wanaaminiana , kundi linalofata NI la watoto wa mama mmoja wanawake huwa wanaunganisha Sana watoto
Aisee kundi la hovyo kabisa ni la watoto wa Baba mmoja , hapa huwa hamna upendo ila chuki ya wazi hasa kama mama zao wapo haii...
 
Hii research umeifanyia wapi?
 
Watoto wa baba moja mama tofauti huwa na uadui na sababu kubwa huwa ni pale baba anapoonyesha upendeleo kwa mke flani na watoto wake.
 
Kama ulikuwa hujui basi nikutoe tongotongo kuna familia zina watoto 7 na kuendelea, nimewahi kuiona familia ina watoto 11 tumbo moja, hadi sasa kuna moja alifariki wamebaki 10.

Kwenu mliowahi kuishi haya maisha, maisha yanaendeleaje
Unamaanisha baba mmoja mama mmoja? Sisi tuko 13.

Ukiweka baba mmoja na mama tofauti na Baba tofauti tuko 22 .

Sijui wewe umekulia wapi.
Ila sisi tuko vizuri tu tunasongabele.
 
Watoto wa familia moja wa Baba mmoja na mama mmoja huwa Wana umoja Sana na wanaaminiana , kundi linalofata NI la watoto wa mama mmoja wanawake huwa wanaunganisha Sana watoto
Aisee kundi la hovyo kabisa ni la watoto wa Baba mmoja , hapa huwa hamna upendo ila chuki ya wazi hasa kama mama zao wapo haii...
Kweli kabisa mkishea mama mmoja watoto huwa na nguvu sana
 
Sisi tupo 9 baba mmoja mama mmoja tunaishi fresh tu
 
Watoto ambao naona hawaelewan ni wale ndugu ambao baba na mama ni tofauti! Lkn walioshea baba na mama naona hakunaga shida
 
Mimi nawashangaa wale wanaozaa watoto 2 au 3 siku hizi!

Huo uzungu tulikuwa bado hatujaufikia!
 
Watoto wa familia moja wa Baba mmoja na mama mmoja huwa Wana umoja Sana na wanaaminiana , kundi linalofata NI la watoto wa mama mmoja wanawake huwa wanaunganisha Sana watoto
Aisee kundi la hovyo kabisa ni la watoto wa Baba mmoja , hapa huwa hamna upendo ila chuki ya wazi hasa kama mama zao wapo haii...
Aisee
 
Back
Top Bottom