Wale ambao kwenu mpo zaidi ya watoto 6 baba na mama moja, maisha ya ukubwani yapo vipi kindugu ?

Wale ambao kwenu mpo zaidi ya watoto 6 baba na mama moja, maisha ya ukubwani yapo vipi kindugu ?

Mimi ninauchukia sana umaskini kwa sababu nimeuishi. Bora nisiwe hata na mtoto kuliko kuwa naye halafu akaishi kwenye umaskini uliokithiri kama nilioishi mimi hadi naingia chuo kikuu.
Safiii we unajibana halaf kuna ndugu anakuzalia watoto umsaidie kulea
 
Huyo ni mmoja katika mabilioni. Maskini wengi wana watoto wengi. Tukisema tutumie mfano wa Elon Musk basi itabidi tukubaliane na wale mataahira wanaosemaga darasa la 7 wengi ni matajiri kuliko waliosoma.
Sawa ila tusimsahau pia
 
Back
Top Bottom