Wale ambao mlishawahi kutuma nauli kwa demu akala na hakuja tukutane hapa.

Acha niufufue tena huu uzi jumatatu tu nimepgwa naul ya kutoka Arusha to shy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Duuuh ulimkomesha kwa kweli khaaah
 
Mkuu umeniacha hoi kwaiyo ukasema akaenda kwa Mwenyekiti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na me nmecheka had mbavu zinauma, ila hii iliwah kutokea kwa mtu naemfahamu.
 
😂😂😂Huu uzi unachelesha mno
 
Alikuona babu jinga
 
Ah kuna demu alikuwa zanzibar m nipo dodoma ah katika kujitutumua kikadai kinataka kuja dodoma nika tuma laki moja na nusu...ah nilivyotuma tu after 10 minutes akanimute ah ajibu mesej wala hapkei nikasema poa
Nikachil kama wiki tatu nikamvutia waya tena..akadai mama yake alipata presha gafla
Niaktuma tena 30000 nikamwambia njoo dar ah mtoto akafika dar nilichomfanyia hawez nisahau kufa kwan nilichukua simu...alikuwa na kiakiba alikuja nacho kama laki hivi...
Nilimkomoa hasaaaa
Bwege yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…